Dodoma: Rais Samia akutana na Kuzungumza na Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Maitha Al Shamsi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
IMG_20220401_055439_427.jpg
IMG_20220401_055436_721.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.

IMG_20220401_055443_078.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mhe. Maitha Al Shamsi Waziri wa Nchi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Ikulu Jijini Dodoma tarehe 31 Machi, 2022. Huu ni mwendelezo wa ziara ya Mhe. Rais Samia aliyoifanya katika Falme za Kiarabu UAE hivi karibuni.
 
Aisee kumbe nchi za kiislamu za kiarabu pia kuna mawaziri wanawake ndio kwanza naona leo. Nilikuwa sijui
 
Hakika Rais wetu anafanya kazi kubwa sana ya kuimarisha mahusiano na mataifa makubwa. Tunaamini mahusiano haya yatakuwa yenye manufaa kwa Nchi yetu haswa kwenye maendeleo.
 
Halafu unakuta miafrika huko Nigeria imeletewa dini tu, inafuga midevu inakataza watoto wa kike wasisome eti wakae ndani tu. Kama wazazi wa hawa viongozi bora wasingewasomesha leo tungeona uongozi wao. Kama waarabu wenye dini yao wanathamini Mwanamke mpaka anakuwa kiongozi wewe mwafrika na watalibani mlioletewa tu dini mbona mnagandamiza na kunyima haki watoto wa kike?
 
Back
Top Bottom