Kwako Dkt. Tulia Ackson: Kuhusu waliofukuzwa Chadema, mheshimu Sheria za nchi

F4B

JF-Expert Member
Jan 13, 2022
325
416
Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA.

Na sio tu taarifa hizi ziko Kwenye social media lkn pia zilirushwa na vyombo mbalimbali vya vya habari vya ndani ya nchi na nje ya nchi.

Lakini cha kushangaza ijumaa waliingia bungeni na ww ukawapa na nafasi ya kuchangia mijadala. Mhe Spika ombi langu kwako ni moja tu nyinyi ndo watunga sheria naomba mheshimu sheria za nchi.
 
Naona aibu mimi, Sheria yetu kuu inasema wazi kabisa kwamba mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa,,
 
Kenge huwa hasikii mpaka apigwe hadi damu zitoke puani.
 
Roho mbaya tu ,hata hao akina mdee wakifukuzwa haitakuongezea chochote kwenye akaunti yako ,labda uwe ni joyce mukya
 
  • Thanks
Reactions: F4B
Naona aibu mimi, Sheria yetu kuu inasema wazi kabisa kwamba mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa,,
UKIUKAJI huu wa katiba ni kiburi tu Cha CCM, Ila wao CCM ni wa kwanza kuhimiza watu watii sheria bila shuruti, wakati wao wanavunja Sheria wazi wazi bila aibu. SUALA hili liko wazi, hao 19 kwa sasa hawana chama, hawana sifa ya kuwa bungeni hata kwa sekunde moja.
 
Mnao Uhakika Mnyika ameshakabidhi Rasmi barua..?

Kuna kamchezo hapo Wanachama na Mashabiki hawakajui Lkn Viongozi Wa Sakosi Wanakajua..

Hivi nyie mlijua Watu walienda kutana Nairobi?
 
Wewe ulitaka Mnyika akabidhi mara ngapi?
Kama ofisi ya spika inakiri kupokea barua ya covid 19 kufukuzwa, wewe unahoji nini tena?
Kuna Kamchezo kanachezwa Wewe hukajui...!
Wewe fikiria Watoto Wa Kike Wanaenda nje Ya Nchi huko Nairobi Kenya Kukutana Sio na Mmama bali Mbaba Mtu Mzima...Hamshituki kwanini?
 
Mnao Uhakika Mnyika ameshakabidhi Rasmi barua..?

Kuna kamchezo hapo Wanachama na Mashabiki hawakajui Lkn Viongozi Wa Sakosi Wanakajua..

Hivi nyie mlijua Watu walienda kutana Nairobi?
Huko Usukuleni ndio kabisa,hata hawa wamejifunza kwao
 
Jamani kwani nyie hamtaki kuona Ndugai na Mahera wakibananishwa na kibatala mahakamani? mzee mdee na mabinti zake 18 wakilambishwa sakafu?

Acheni iendelee hivihivi dunia ishuhudie unafiki wa nchi inayojifanya inafata sheria na demokrasia
 
Ninayo machache kwako kama raia wa nchi kama ilivyo kwa watanzania wengine. Kwa siku za hivi karibuni hasa alhamisi ya tar 12.05.2022 kulienea taarifa katika mitandao ya kijamii juu ya uanachama wa dada zetu 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA kuwa wamevuliwa uanachama wao ndani ya CHADEMA.

Na sio tu taarifa hizi ziko Kwenye social media lkn pia zilirushwa na vyombo mbalimbali vya vya habari vya ndani ya nchi na nje ya nchi.

Lakini cha kushangaza ijumaa waliingia bungeni na ww ukawapa na nafasi ya kuchangia mijadala. Mhe Spika ombi langu kwako ni moja tu nyinyi ndo watunga sheria naomba mheshimu sheria za nchi.
Hawezi kukusikia
 
Back
Top Bottom