Naona CHADEMA wawakubali 'COVID19' Kiaina maana Pesa imekata hawana ruzuku, the man to run show yuko Mahabusu

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Ukweli una tabia Moja! Uwachukiza wachache na wengi hubaki wameduwaa kwamba kumbe na haya yapo?

Ukweli utakiwa kusemwa na wenye uthubutu bila kujali nani atakuchukuliaje Kuweka Mambo hadharani! Nina wengi tunaheshimiana hapa JF Na ni wa Mlengo wa washindani wetu!

Wakati ACT Wazalendo wakipewa fungu la Siri 345,700,600 kila Mwezi ili kuiangusha CHADEMA kiuimara , Wao CHADEMA hawana pesa! Chief organizer Yuko Mahabusu na Ndo Mwenye pesa! Katibu Mkuu kapoa! Vijana wamepoa, wabunge wastaarabu wamepoa! Nimepenyezewa kwamba hali so nzuri kifedha chamani! Wanafika hatua wanataka ama wahalalishe wale Covid 19.

Ambao wangechangia walau kila mmoja 3M kila mwezi kutoka ile 13.9M kila mwezi (all inclusive mapato ya Mbunge) wangekuta wana 50M+ kila mwezi Kuendeshea Chama.

Mnakumbuka nilisema kwamba uwenda kuna go ahead ya Mbowe kuwaruhusu Hawa Covid 19

Lakini Kelele za wasiochangia chama hata ada zao zikawa nyingi saana saana hata Mwenye kiti akaogopa Kuwasamehe kuhofia Chama Kumfia.

Sasa Chama naona kimekwama!

Ushauri wa Bure kwa Chadema....WAACHANE NA KUDAI KATIBA MPYA KABLA YA 2025...

Lissu Kampomza Mwana wa wachaga anasota Jela kwa kusingiziwa...

Naona waachane na mama awatulize ndani ya CCM ili ashinde 2025 na hapo mwaka 2028 hatakuwa na la kuogopa kuacha Katiba Mpya huenda akaamua kustaafu...na uwenda akawa Shujaa wa Taifa kwa kuacha Katiba Mpya..

sasa CDM ni wazito.kusoma siasa.....wakaanza vugu vugu la katiba mpya lililotishia Amani ya Taifa.

NIMEFURAHI SANA WABUNGE 19 KWENDA KUMTEMBELEA MBOWE GEREZANI KILA JUMAPILI.....HUO NDIO MSHIKAMANO

Kudos Mtu wangu ulonipenyezea hiii

Britannica
 
Umbeya wamekuomba pesa! Hilo tamko liko wapi. Yaani walishatuambia wazi kwamba wanakusanya pesa kwa wanachama milioni 7! Sasa kama wanachama milioni 7 hawawezi kuchanga pesa za kuendesha chama kuna tatizo hapo

Unatakiwa kushukuru hizo. Pesa za walipa kodi badala ya kutumwa kila siku kupotosha watu kama vile hapa kuna watoto.
 
Kumbe ACT wanapewa pesa ili kuiangusha Chadema, ndio maana wanaona "ndoa" tamu. Wanakula pesa at the expense of wapemba wanaoumizwa kila wakati uchaguzi mkuu ukifika, hii ni dhambi.

Waambie ACT kama wanadhani Chadema ni ghorofa wanaloweza kuliangusha basi waendelee kuhangaika na hizo pesa wanazohongwa, lakini kama Chadema ni spirit waambie siku zote spirit haifi wasijidanganye na wala kukosekana ruzuku hakuwezi kuiua Chadema, watanzania sio wajinga.

Halafu unaposema Lissu kamponza Mbowe hapo sijakuelewa kabisa, unapotosha makusudi; Mbowe aliponzwa na msimamo wake wa Katiba Mpya, mwenye nchi aliesema isubiri kwanza akanuna akidhani amedharauliwa, matokeo yake ndio Mbowe sasa analipia gharama ya uzalendo wake kwa taifa.

Mwisho kabisa naona umejitahidi kuwapamba hao covid 19 waonekane bado wana manufaa Chadema while the reality is different myfriend.

Hizo milion 3 zao sioni thamani yake mbele ya maelfu ya wapenzi na wanachama wa Chadema nchi nzima, ni suala la kutoa utaratibu wa michango maisha yaendelee, hata kama wakichanga mia tano kila mmoja ni zaidi ya hizo mil 3 za hao covid 19 waliovunja taratibu za chama.

Pressure unayokiri ipo kutoka nje ndio itakayowatupa nje hao wanawake kama sio imeshawatupa, sasa hivi naamini viongozi wote wa chama wanajua vizuri wanachama na wapenzi wa Chadema nchi nzima wanataka nini kuwahusu hao watu.
 
Tanzania mpinzani wa kweli ni Profesa tu. Sioni sababu ya kuwepo kwa upinzani kwa sasa kwa sababu ilani ya Chadema inatekelezwa sasa ya CCM imeisha kwani Maji,umeme na rami hadi mashambani.

Networking 4G/5G kona zote za nchi. Elimu bure, mazao yamepata masoko,vitu vimeshushwa bei mfano diesel na petrol, mahakama na bunge zipo live 8 hours. Soka usiseme, ikiisha hii ya CHADEMA naona ya ACT Wazalendo itaanza kutumika
 
Kwahiyo covid 19 huwa wanakwenda kumcheki Mbowe kila Jumapili!?? Hii mpya hii..
 
..sasa Mbowe atawarudisha wakina Halima kwa kutumia hoja gani?

..je, chama hakitazidi kudhoofika? Hakutatokea mgogoro, au baadhi kukata tamaa?

..Na kama serikali ameamua kuibeba ACT ili kuidhoofisha CHADEMA, je, kuwakumbatia kina Halima ndio kutasitisha mipango miovu ya serikali / CCM?

..Na Mbowe ana uhakika gani kuwa atatoka?
 
Ukweli una tabia Moja ! Uwachukiza wachache na wengi ubaki wameduwaa kwamba kumbe na haya yapo?

Ukweli utakiwa kusemwa na wenye uthubutu bila kujali nani atakuchukuliaje Kuweka Mambo hadharani! Nina wengi tunaheshimiana hapa JF Na ni wa Mlengo wa washindani wetu!

Wakati ACT Wazalendo wakipewa fungu la Siri 345,700,600 kila Mwezi ili kuiangusha CHADEMA kiuimara , Wao CHADEMA hawana pesa! Chief organizer Yuko Mahabusu na Ndo Mwenye pesa! Katibu Mkuu kapoa! Vijana wamepoa, wabunge wastaarabu wamepoa! Nimepenyezewa kwamba hali so nzuri kifedha chamani! Wanafika hatua wanataka ama wahalalishe wale Covid 19
Ambao wangechangia walau kila mmoja 3M kila mwezi.kutoka ile 13.9M kila mwezi (all inclusive mapato ya Mbunge) wangekuta wana 50M+ kila mwezi Kuendeshea Chama.

Mnakumbuka nilisema kwamba uwenda kuna go ahead ya Mbowe kuwaruhusu Hawa Covid 19

lakini Kelele za wasiochangia chama hata ada zao zikawa nyingi saana saana hata Mwenye kiti akaogopa Kuwasamehe kuhofia Chama Kumfia.

Sasa Chama naona kimekwama!

Ushauri wa Bure kwa Chadema....WAACHANE NA KUDAI KATIBA MPYA KABLA YA 2025...

Lissu Kampomza Mwana wa wachaga anasota Jela kwa kusingiziwa...

Naona waachane na mama awatulize ndani ya CCM ili ashinde 2025 na hapo mwaka 2028 hatakuwa na la kuogopa kuacha Katiba Mpya huenda akaamua kustaafu...na uwenda akawa Shujaa wa Taifa kwa kuacha Katiba Mpya..

sasa CDM ni wazito.kusoma siasa.....wakaanza vugu vugu la katiba mpya lililotishia Amani ya Taifa.

NIMEFURAHI SANA WABUNGE 19 KWENDA KUMTEMBELEA MBOWE GEREZANI KILA JUMAPILI.....HUO NDIO MSHIKAMANO

Kudos Mtu wangu ulonipenyezea hiii

Britannica
NI Mpumbavu Tu ndio anaweza kuandika Uchafu huu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Britanicca mfuasi wa Magufuli baada ya kukata tamaa ya uteuzi ukageuka kuwa mkosaoaji wake.

Lini ulishawahi kuisifia chadema? does it make any different now?

Chadema inawatesa sana
 
Back
Top Bottom