Kuna faida gani Mawaziri kuwa Wabunge na sehemu ya Bunge?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,597
46,215
Kwa nini Katiba ya Tanzania ilitaka mawaziri lazima wawe wabunge ?

Faida ni zipi mawaziri kuwa wabunge?

Mawaziri hulipwa mshahara wa ziada juu ya mshahara wao wa ubunge?

Kama mawaziri wanalipwa mshahara wa ziada tofauti na wa ubunge kumteua mtu ubunge kisha kumpa uwaziri si inaigharimu serikali isivyo lazima kwa jambo ambalo lingeweza kuepukwa kwa kuwa na mawaziri wasio wabunge ?
 
Waziri anapata, mshahara wa ubunge na posho zakd zote, anapewa mshahara wa waziri m6, vxr v8 na dereva wake na mafuta inaweka serekali.

Anapga dili kubwa kubwa na akiwa na heshima na msikivu kwa makatibu wakuu, mawazr, wakuu wa vitengo nk ndugu zake wote watapata kaz
 
Kwa nini Katiba ya Tanzania ilitaka mawaziri lazima wawe wabunge ?

Faida ni zipi mawaziri kuwa wabunge?

Mawaziri hulipwa mshahara wa ziada juu ya mshahara wao wa ubunge?

Kama mawaziri wanalipwa mshahara wa ziada tofauti na wa ubunge kumteua mtu ubunge kisha kumpa uwaziri si inaigharimu serikali isivyo lazima kwa jambo ambalo lingeweza kuepukwa kwa kuwa na mawaziri wasio wabunge ?
Hakuna faida yoyote na sio tu Waziri mkuu mpaka mawaziri wa kawaida hawafai kuwa wabunge hivo hivo kwa spika pia hafai kutoka miongoni mwa wabunge pia naibu spika hafai kutoka miongoni mwa wabunge hata Mwenyekiti wa bunge hafai kutoka miongoni mwa wabunge
 
Back
Top Bottom