Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wabunge walienda bungeni kwa tiketi ya chama. na chama kimewavua uanachama na spika kapokea Barua ya chama Kama utaratibu unavyotaka. Maajabu ya spika; 1. Chama hiwe kwa njia yoyote ile lakini...
20 Reactions
67 Replies
5K Views
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Ni kuombe uwe muwazi kabisa juu ya hili sakata la kina Mdee,kifupi unalijua kiundani na wewe ndio master mind. Unajifanya uko serious na hutaki mzaha lakini wabunge hawa wanabaraka zako ...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa ya Dharula ya sasa inayosambazwa na Chama hicho , kwamba viongozi wa Juu Kabisa wa Chadema wataongea na Waandishi wa Habari wa Dunia nzima tarehe 17/05/2022 , saa 5 Asubuhi ...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Huko nyuma watu hawakujali kuhusu Shule/Vituo Shikizi. Ni Serikali ya Awamu ya 6 ya Rais Samia ndio imechukua hatua mahususi na za haraka za kujenga madarasa ya kisasa 3,000 tena kwa mpigo katika...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Nakumbuka wakati Tundu Lissu anatetea ubunge wake baada ya kufukuzwa na Spika Ndugai Mahakama ilisema haiwezi kuingilia maamuzi ya Spika. Kwanini leo Spika anaisubiri Mahakama imuongoze? Huku...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Mnataka kuleta uwongo kuwa kulikuwa na maridhiano? Acheni janja ya kishamba. Maridhiano gani sasa? Kwani Spika alikuwa na taarifa za uongo? Au ndio Mbowe aliingia makubariano ya kuacha harakati? 👇...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Muda mfupi kabla Kamati kuu CHADEMA kuwahoji wanachama wake walioapishwa kuwa wabunge wa viti maalum, wanachama hao wamesisitiza kutotokea mbele ya kamati kuu wakidai kupokea vitisho toka kwa...
37 Reactions
336 Replies
38K Views
14 May 2022 Malalamiko Ya Wabunge Baada Ya SRC Kupunguza Mapato Yao Ikiwemo Posho Za Vikao Vya Bunge kufutwa WABUNGE wamelalamikia hatua ya Tume ya Kukadiria Mishahara na Marupurupu ya Watumishi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni basi Tanzania hatuna media huru, hii Kesi ya Mbowe ingekuwa Kenya, Jamuhuri wangekoma Kama sio kuikimbia. Huyu bwana afande Jumanne ametajwa saaana kwenye Kesi ya Mbowe, ndo anaitwa master of...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona sahizi anakaribia wiki bado yupo Mbeya na hatujui mwisho wa ziara yake ni lini? Kwanza mimi naona Rais anautumia muda wake vibaya kufanya ziara mkoa mmoja karibia wiki. Kwa sababu nchi hii...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Sylvie Kinigi (Tutsi) was PM for BI under Ndadaye, Agathe Uwilingiyimana PM for RW & Aq Prsd 1993 under Habyarimana till her assass' in 1994, Specioza Kazibwe 6th Vice Prsd UG 1994-2003 under...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Kwanza kabisa tuliambiwa viongozi waandamizi wa wakati huo Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo walitaka kuupindua uongozi halali wa Mbowe. Kisha tuliambiwa kipengele cha uchaguzi mkuu wa Rais 2015...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama...
36 Reactions
52 Replies
4K Views
Nimeitazama video moja ya hayati mchungaji Myles Munroe akiwaongelea wanasiasa wa dunia hii. Nikatamani hawa wa kwetu waisikilize ili waondoke na chochote kitu kitakachowasaidia katika wito wao wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua, CHADEMA imekwisha ndugu...
11 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…