uzio usio onekana
JF-Expert Member
- Apr 21, 2019
- 889
- 2,806
Naona sahizi anakaribia wiki bado yupo Mbeya na hatujui mwisho wa ziara yake ni lini?
Kwanza mimi naona Rais anautumia muda wake vibaya kufanya ziara mkoa mmoja karibia wiki. Kwa sababu nchi hii inamatatizo mengi sana.
Hayo anayoyafanya huko hata wakuu wa wilaya wanaweza kuyafanya, pili Rais kukaa muda mrefu sehemu ambayo sio rasmi kwa kuwepo yeye anawapa mzigo wananchi wa eneo husika. Kwa sababu Rais huwa akienda sehemu lazima kuna mambo yasimame.