Sijawai kushuhudia CHADEMA iliyichoka kama ya sasa

ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,789
5,105
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
 
wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

asanteni
Wekeni uwanja huru wa ushindani muone Moto. Jana UWT wamefanya mkutano mkubwa Sana, hamna wa kuwazuia.
CCM bila polisi na rume ya uchaguzi ingefutika siku nyingi
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

asanteni
Maoni ya Ngebe, wapo waliotamani hili litokee badala yake wamedanja wamekiacha kikielea bahari kuu tena yenye mawimbi ya tsunami.
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

asanteni
tathimini uwezo wako kichwani, pia uwezo wako wa kuleta hoja mbele za watu
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Subutu, eti chadema imechoka, wakati KILA siku police wenu wanapambana na Chadema ,mnatumia vigezo gani? au ndo ile ya yakujifariji Kama Kipindi Cha mwenda zake ,
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Nenda ACT
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
AYrClH-.jpg
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zangu

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Hio ni kazi iliyotukuka ya jemedari Jiwe

Aisee, acha tu waendelee kumtukana
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Bora umewaambia. Wabishi lakini ukweli CHADEMA imechoka ile mbaya. Haina uongozi
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Right ungepata muda wa kufikiria vizuri kwa kutumia that white thing in your head the call it brain usingeanzisha thread like this. Mwizi anakimbizwa kimya kimya, mwizi ndio anapiga mayowe, angalia ujenzi wa ofisi za kanda unavyoendelea na muitikio wa watu maeneo mbali mbali? membership base inaexpand pamoja na kupigwa vita kushoto na kulia they are working quietly ndio maana unaona vita dhidi yao ni kubwa kwa chama kilichochoka, na wamechoka kweli hawana ruzuku lakini BAU kila kitu kiko kwa mstari. Fanya matumizi mazuri ya bundle lako.
 
Ogopa sana chama pamoja na matatizo yote haya wanachama wanajichanga na wanajenga ofisi zao za chama nchi nzima

CCM haijawahi kujenga hata ofisi moja, zote wamepora zilikiwa mali ya watanzania chini ya mfumo wa chama kimoja.
 
Sio siri kwa sasa CHADEMA imechoka imechoka, imebaki inaendeshwa twitter na Hilda Newton na John Pambalu

Wanavizia Rais aseme kitu wadandie tumaneno twa kuchambua,

CHADEMA imekwisha ndugu zangu

Nawasihi CHADEMA mkae chini mjiulize kwanza mnakwama wapi, hawa akina Newton hawana hata uwezo wowote wa kuishawishi jamii

Kwa hali mliyonayo sasa kuiangusha CcM ni ndoto za mwendawazimu

Asanteni
Haaa ingekuwa umechoka Viongozi wake Wangebambikiziwa KESI?
WANGEKAMATWA?
WANGEZUIWA KUFANYA MIKUTANO?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom