Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 46,986
- 144,313
Ukweli ni kwamba kutokana na sakata hili hata wale wanaanchi waliokuwa bado na imani kidogo na hili Bunge, sasa nao watapoteza imani hio kidogo waliokuwa nayo na matokeo yake Bunge zima litadharaulika.
Watu lazima watajiuliza wabunge wa kubebwa na serikali(dola) watakuwa na uthubutu gani wa kutetea wananchi Bungeni kama sio kuwa wabunge wa serikali?
Tukumbuke mpaka sasa hili Bunge machoni pa wengi ni Bunge la chama kimoja na sakata hili linakwenda kuthibitisha kwa vitendo kuwa hata hawa kina Mdee ni wabunge wa CCM tu wanaotumia mwamvuli wa upinzani.
Mama anafeli sana katika mtihani wa kujarbu aonekane mwema tofauti na Mtangulizi wake(mpaka sasa amelamba F).
Wanaangamia kwa kukosa maarifa hata ya kuvukia barabara!