CHADEMA hawafai kushika dola, viongozi wake sana ndimi mbili wanaweza kuuza nchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,600
141,419
Kwanza kabisa tuliambiwa viongozi waandamizi wa wakati huo Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo walitaka kuupindua uongozi halali wa Mbowe.

Kisha tuliambiwa kipengele cha uchaguzi mkuu wa Rais 2015 ameuziwa mzee Lowassa na ofisi zake zikawa Mikocheni badala ya Ufipa st.

Baadae tukaambiwa wabunge wa Chadema wananunuliwa pale Lumumba na kupewa uwaziri

Sasa tumeambiwa wabunge 19 wa Chadema wameingia bungeni kwa kughushi barua ya Katibu mkuu tena mwingine walimtoa.jela usiku.

Je, Chadema bado ina sifa ya kuitwa chama cha siasa?
 
Naiombea sana nchi yangu ipate chama cha upinzani cha maana hiki/hivi nivionavyo ni HAMNA hawaeleweki wana agenda gani hawaeleweki wana mbinu gani, hawaeleweki wana misingi gani na hata hawaeleweki ni akina nani ndio maana akija Membe wao akija Lowasa wao wanakimbiakimbia kama watoto wadogo na matairi eti wanaendesha gari
 
Hili lichama halina mwelekeo...mpaka sasa hatujapata chama imara.
 
Ccm nchi imewashinda,mmebakia na propaganda zisizo na mashiko.
Watanzania si wajinga kama mmavyofikiri.Wanawasoma na kuwasubiria muda muafaka.
 
Am very sure this world would be better without you… hujawahi kueleweka katika topic zako zote unazoandika!
 
Mbona CCM wameuza nchi husemi?. Tofautisha chadema Kama chama na udhaifu wa baadhi ya wanachama wenye tamaa ambao chama kimewafukuza.
 
Chadema ni mkusanyiko wa wabishi wa siasa na wajasiliamali wa kisiasa walioshindikana kwenye vyama vingine vya kisiasa kwa utovu wa Nidhamu.
 
Bwashee kwa nini unahangaishwa hivyo na simulizi za vijiweni!? Kila sentensi yako unaandika kuwa umeambiwa.

Sasa basi na sisi tukitaka kuaminishwa kwa kuambiwa kuwa wewe Jo una mkia kama wa sungura mwilini mwako, una kwato kama za ng'ombe, na pia una pua kama ya nguruwe tuamini upuuzi kama huo!?

Za kuambiwa changanya na za kwako bro. Ukitaka kupata habari zozote sahihi kuhusu CDM pata kutoka na kada yeyote yule anayeaminika.
 
Kura halali au wizi wa kura ndio unaamua chama gani kitaongoza nchi. Maombi labda uwaombee waovu na madhalimu waache uovu.
Naiombea sana nchi yangu ipate chama cha upinzani cha maana hiki/hivi nivionavyo ni HAMNA hawaeleweki wana agenda gani hawaeleweki wana mbinu gani, hawaeleweki wana misingi gani na hata hawaeleweki ni akina nani ndio maana akija Membe wao akija Lowasa wao wanakimbiakimbia kama watoto wadogo na matairi eti wanaendesha gari
 
Naiombea sana nchi yangu ipate chama cha upinzani cha maana hiki/hivi nivionavyo ni HAMNA hawaeleweki wana agenda gani hawaeleweki wana mbinu gani, hawaeleweki wana misingi gani na hata hawaeleweki ni akina nani ndio maana akija Membe wao akija Lowasa wao wanakimbiakimbia kama watoto wadogo na matairi eti wanaendesha gari
Nimekuelewa bwashee
 
Kwanza kabisa tuliambiwa viongozi waandamizi wa wakati huo Zitto Kabwe na Prof Kitila Mkumbo walitaka kuupindua uongozi halali wa Mbowe.

Kisha tuliambiwa kipengele cha uchaguzi mkuu wa Rais 2015 ameuziwa mzee Lowassa na ofisi zake zikawa Mikocheni badala ya Ufipa st.

Baadae tukaambiwa wabunge wa Chadema wananunuliwa pale Lumumba na kupewa uwaziri

Sasa tumeambiwa wabunge 19 wa Chadema wameingia bungeni kea kughushi barua ya Katibu mkuu tena mwingine walimtoa.jela usiku.

Je, Chadema bado ina sifa ya kuitwa chama cha siasa?
Hao uliowataja ni CHADEMA?Hebu angalia vizuri kwenye hilo faili lako ulilolipachika kwenye kingwamba.
 
Back
Top Bottom