Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi...
Moja ya tatizo kubwa linalotuchelewesha watanzania kupiga hatua ni kwamba; Watu waovu si tu kwamba wana ujasiri wa ajabu lakini pia wanachukua hatua wakati watu wema/wenye fikra nzuri n.k wana...
Habari wana JF
Nimejaribu kufuatilia kwa undani sana suala la shilingi ya Tanzania ukilinganisha na dollar pendwa ya Kimarekani ,kwanza tumsikilize huyu kiongozi kuhusu shilingi ya Unguja...
Inasemekana tayari vyama vya upinzani vimeanza kumnyemelea mwanasiasa nguli na mbunge wa jimbo la Kongwa mh Ndugai ili awe mgombea wao wa urais 2025.
ACT wazalendo inatajwa kumtamani zaidi...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewafutia kesi ya Uhujumu Uchumi na kuwaachia huru wafanyakazi watano wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba nchini Tanzania (TMDA) akiwemo Mkurugenzi wa Usalama wa...
Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi .
Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa...
Nadhan hapa tunapasa kuweka itikadi zetu za vyama ,dini na kabila pembeni. kuna kipindi tunapaswa kusimama kama watanzania tukaweka mambo mengine yote mifukoni mwetu tukabaki na utanzania...
Akizungumza katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari mwandishi nguli Pascal Mayalla amewataka TCRA kuwafuatilia wale wanaoandika uchafu kwenye mtandao wa Twitter na kama wameshindwa basi...
Msemaji wa TAKUKURU, Mussa Misalaba amesema, kwa sasa taasisi yake iko kwenye uchunguzi wa kina kuhusu kashfa za RICHMOND, EPA na Rada na pindi itakapokamisha uchunguzi wake watalitaarifu taifa...
KUGOMBANA NA WAZUNGU NI KUGOMBANA NA UTAJIRI.
Anaandika Robert Heriel.
Kutokana na Elimu duni ya Watanzania waliowengi kuhusu mambo ya kihistoria, wengi hawana Uelewa Dunia imetoka wapi, ilipo...
SHAIRI: NURU IMESHINDA GIZA
MTUNZI: Kalamu Yangu
Nuru ndogo ya kurunzi, 'meshinda giza totoro,
Tena mbele ya viunzi, vyenye miba na chochoro,
Wameshinda wanagenzi, si zana siyo michoro,
Giza...
This is too much au ana Kazi maalumu huwa anaenda kufanya mrejesho..
Kila Rais wa CCM lazima akakutane na Lipumba Ikulu..
Wajuzi mtueleze ,bwana Prof huwa anafuata nini? Tija ya mazungumzo yake...
Kuna mwenzetu mmoja hapa Jukwaani hujifanya yeye hana upande na kwamba huchambua mambo kwa haki bila kuegemea upande wowote na kwamba alipata ufaulu wa kiwango cha A katika somo mojawapo la kozi...
1. Weka vizingiti vingi kuuza chakula nje ya nchi iwe vigumu wafanyabiashara kuuza nje
2. Usipandishe mishahara au madaraja ya watumishi kwa kipindi kirefu.
3. Ongeza makato ya bodi ya mikopo...
Amani kwenu Wana JF!
Kichwa cha habari chajieleza. Nchi nyingi za ulaya zimeamua kuondoa sheria ama kanuni za kiafya za kujilinda na uviko. Kwa sasa hakuna barako, hakuna kujifungia na kujitenga...
Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama.
Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua)...
Wanabodi,
Hivi karibuni, tume shuhudia viongozi mbali mbali wa vyama vya upinzani wakifanya mazungumzo na Rais Samia katika mchakato mzima utakao hakikisha kwamba kuna maridhiano kati ya chama...
Hatuwezi kuwa na Mahakama ambayo kazi yake inasikilizia Serikali badala ya kufuata sheria. Kesi za msingi zinachukuwa miaka mingi pasipo ulazima.
Ni wakati wa huyu Professor kurudi kufundisha na...
Maoni huru.
Kwa miaka Zaidi ya sita sasa nimejaribu kufuatilia kwa kina mwenendo wa Serikali na manufaa ya kila sekta kwa nchi na taifa Kwa ujumla.
Kwa utafiti wangu, NaweZa kusema Kwa dhati...