Wakati unaposoma maoni humu JF kuhusu serikali na miradi inayotekelezwa na serikali,unaweza kudhani watoa maoni ni raia wa nchi mbili tofauti,maana kuna upande usioona jema lolote na pia kuna...
Si kweli kwamba vijana wa nchi hii hupata mikopo bali mikopo yote ihusuyo vijana hugawanwa na Viongozi wa chama tawala na vijana wao nao ni wale tu walio na connection.
Katambi acha dharau na...
Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi...
Chadema kesho watawasilisha barua rasmi ya kuwavua uanachama Halima Mdee na wenzake 18 kwa Spika wa binge na Msajili wa vyama vya siasa
Aidha Halima Mdee na wenzake wanayo haki ya kuiomba...
Dodoma. Baadhi ya wabunge kati ya 19 waliofukuzwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiingia bungeni tayari kuendelea na shughuli za Bunge jijini Dodoma, leo Ijumaa Mei...
Kama kuna vijana wako huko Upinzani wakidhani kuna siku Watachukua hii Nchi na kuingia Ikulu basi wanajidanganya sana labda baada ya miaka 50 huko baadhi ya watu wakiondoka .
Kuna sababu mbili tu...
Mwaka 2015 ni mtu kichaa peke yake asiyetambua biashara iliyofanyika kati ya Chadema na Mh Edward Ngoyai Lowassa, aliyekuwa anategemewa kugombea Urais kupitia Chadema alipigwa chini na kijiti...
Mbunge Salome Makamba ametaka serikali kuwalinda wateja wa simu za mkononi ambao wanabanwa na mikataba isiyo ya usawa, kuwalazimisha kutumia salio za vifurishi huku walaji hao wakiwa hawana...
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa.
Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle.
Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021...
Huyu afisa elimu ana mapungufu mengi nashangaaa kwanini Serikali inamucha mpaka leo amekuwa kero kubwa kwa watumishi anaowangoza mpaka basi.Mara kwanza alikuwa afisa elimu yule aliehamishiwa...
WATUMISHI WA UMMA NCHINI TUNAKUSHUKURU RAIS SAMIA, TUDAI TIJA KAZINI NA KURA 2025
Sisi watumishi wa umma nchini tunasema haya kwa sababu umetufanyia makubwa, umetuonesha upendo, umeonesha...
Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora.
Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa...
Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa...
Watanzania wengi Wana sifa kuu Tatu ambazo sio nzuri kwa afya ya Taifa lolote:-
1. Wavivu
2. Wezi na sio waaminifu
3. Wanapenda sana starehe /maisha mazuri kuliko kufanya kazi.
Sasa kwa sifa...
Hivi ni nani anahudumia watanzania kwa huduma za ubalozi? Nani anafanya kazi za Tanzania huko Malawi? Polepole anazunguka tu humu nchini wakati hapo Malawi hata kwa basi la Sauli au Super Feo anafika
Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa...
Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali...
Leo waziri wa habari Napa wakati akisoma bajeti ya wizara amesema wizara imetenga bajeti ya kuchapisha picha ya raisi nakala 12794.
Si Jambo baya Ila kwa wakati huu sjo sahihi, serikali mara...