Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amemchukia vikali Mkurugenzi wa jiji la Arusha, Dr John Pima kwa kumweleza wazi kwamba mkakati wake wa kumdhoofisha ili wananchi wa Jimbo hilo wamchukie...
Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii
Balozi Polepole, ambaye...
Wakuu,
Rais wetu amepewa nafasi na muongoza mada ya kueleza changamoto kubwa za awali kabisa alizokutana nazo alipoingia Ikulu. Kwa ufupi hizi ni baadhi ya nukuu nilizopata kutoka kwake...
Wakazi wa Kawe Diwani wenu hatimae KAPATIKANA kwa Kipenzi chake ASHURA na hajahudhuria VIKAO kwa Miezi 3 kweli Bado Munamuhitaji au Tuambiwe Sheria inasemaje juu ya Hatima ya UDIWANI wake?
===...
leo kumezuka tafran katika social media baada ya clip inayozidi kutrend ,ikionyesha askari wa KMKM wakiwapiga risasi wananchi huko katika mikondo ya bahari. Kinachodaiwa ni askari hao kuwataka au...
Mojawapo ya masharti ya kuruhusiwa kubaki uchumi wa pato la kati (chini na juu) ni kupunguziwa misaada na mikopo ili ujitegemee kwa vyanzo vya ndani.
Ukitaka misaada na mikopo zaidi ni kigezo cha...
SOMO/USHAURI KWA WIZARA YA AFYA NA WAFAMASIA NCHINI KUHUSU OPOTOSHWAJI UNAOFANYWA MAKUSUDI NA BAADHI YA WATAALAM WASIOKUA WAMINIFU.
Na Prof Patrick Koboko(MD,MMED,MPH,MBA, PhD in Human Anatomy)...
🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022...
Uchaguzi utakuwa huru na wa haki.
====
"Nadhani uchaguzi ujao utakuwa huru na haki,na Wakurugenzi hawatalazimishwa kuwatangaza walioshindwa kuwa washindi" Juma Nkamia
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwl Nyerere Joseph Butiku , leo amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , bado haijawekwa wazi kikao hicho kililenga nini hasa.
Endelea...
Wapendwa, hongereni kwa kazi.
Najaribu kufikiri kwa kina, kisha naishia kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Najiuliza;
Fedha au mali za umma ni kwa ajili ya Watanzania wote bila kujali tofauti...
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali...
Nakumbuka Spika mstaafu mzee Ndugai alimshauri Katibu mkuu wa Chadema mh John Mnyika aende kujifunza mamna kazi za Katibu wa chama zinavyofanywa kwa Dkt. Bashiru.
Mungu fundi leo Ndugai na Dkt...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema wameyasikia malalamiko ya wanachadema ambao wamelalamikia chama chao kwenda kwenye maridhiano na CCM ikiwa wamepitia mambo magumu kutokana na chama...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Legacy sio madaraja wala flyovers bali kile ambacho kitabakia kama urithi wa watu kujivunia..
Legacy hailindwi wala kutetewa bali inajipambanua yenyewe kama Legacy...
Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise...
Wapinzani na wana CCM mnaochukizwa CHADEMA kukutana na Rais Samia pamoja na CCM mnafikiri mabadiliko wanayodai upinzani yatapatikanaje bila kujaribu njia mbalimbali?
Maandamano na mikutano ya...
Nimefuatlia interview kadhaa anazofanya Rais wetu wa KIKATIBA nimegundua wazungu wanatudharau sana!
Kwanza mama Samia kaanza kwa kusema amefanya makubwa sana ikiwemo kutoa ajira kwa sekta ya...
BY ELLEN JOHNSON SIRLEAF
MAY 23, 2022 6:06 AM EDT
President Samia Suluhu Hassan took office in March 2021, and her leadership has been a tonic. That year has made a big difference to Tanzania. A...
Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa...