Emmanuel Nchimbi amestaafu lini Ubalozi? Kaapishwa Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa balozi Brazil

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,809
15,059
Naona mheshimiwa Rais leo amemuapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Brazil.
Hiyo nafasi ilikuwa inashikiliwa na Emmanuel Nchimbi.

Amestaafu au nin kimetokea?
1638781619676.png

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Prof. Adelardus Lubango Kilangi kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Brazil leo tarehe 06 Desemba, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

1638781874719.png
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akiwa katika picha ya pamoja na Prof. Adelardus Lubango Kilangi mara baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Barazil leo tarehe 06 Disemba 2021 Ikulu Jijini Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom