Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.

Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia ubadhirifu siyo ujasusi wa kuripoti namna watu walivyofanya ubadhirifu. Kuripo ubadhirifu huku ukijua kabisa hatua atakazochukua mwanasiasa tunayemtumikia ni kuelekeza mtumishi asimamishwe kazi nikutumia rasimali ujasusi vibaya. It's like kazi ya majasusi WETU nikusaidia utumbuaji jambo ambalo linagharama kubwa Kwa serikali kwani mtumbuliwa anaendelea kulipwa na Kwa sababu wapigaji wapo smart hata uchunguzi ukifanyika hakuna ushahidi unaopatikana na mwisho wa siku aliyetumbuliwa anarejeshwa ofisni au anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Kila siku tunaona viongozi wa kisiasa wakisoma tips flan walizoficha mfuko ni na kutumbua, huyo anayeweza kupeleka vimemo anashindwa nini kuzuia huo uhalifu usifanyike? Kwanini tuwe na majasusi wanaojipendekeza Kwa viongozi wakuu wa nchi? Wanalipwa kuwa chawa wa viongozi au wanalipwa kulinda rasilimali zetu? Kwanini Waziri mkuu anapobaini ubadhirifu asiwatumbue na mashushu Ili nao wajielimishe na wawe sehemu ya kusimamia uadilifu?

Mimi siyo mtaalamu wa usalama ila ningependa kuona maafisa usalama wakishirikiana na watendaji wa umma kuondoa ubadhirifu hasa pale TU wanapobaini upo mchezo mchafu unapangwa. Wakiwa proactive Kwenye uhalifu hakuna mtu atatumbuliwa baada ya Waziri mkuu kufika Kwenye Mkoa au RAIS au Waziri, utumbuaji ulitakiwa ufanyike na mamlaka ya nidhamu pale TU taarifa za Siri zinapopokelewa bila kusubiri mpango wa kuiba kukamilika.

Let assume wazir mkuu au RAIS ajaenda Kwenye mikoa means majasusi watakaa na taarifa huku wananchi wanateseka? Fanyeni kazi Kwa uadilifu lakini pia PM au President au Waziri akifika Kwenye halmashauri akakuta ubadhirifu atumbue pia walioshindwa kuintercept wizi usitokee Ili nao wasaidie kuijenga nchi kuliko kuwaaminisha kwamba wao ni exception. Majasusi wa TAKUKURU NA WENGINE wakitekeleza wajibu wao CAG hatapinguza hoja na kutumbuana arharani kutakoma.

Tanzania pekee ndiyo nchi kiongozi anaamini asipotumbua atakuwa ajafanya KAZI; nchi nyingine mbona huu utaratibu walishaachana nao miaka mingi?
 
FB_IMG_16466828149208366.jpg
 
Hongera Sana kwa Kuandika Kisomi Mno.

Tambua kuna baadhi ya Viongozi wana 'KINGA'. Hivyo, ukitaka kumtumbua au kumwajibisha lazima ufikirie x2.

Ni kweli Majasusi wapo lakini ndiyo hao ambao ni 'CHAWA' na kufikia hata kuchoka na kuamua kushiriki katika Ubadhirifu huo.

Viongozi wengi wanaishi kwa kufanya 'Mambo' ya Siri maovu huku wakitarajia kuwafurahisha Wananchi na hasa wale ambao ni Mashabiki au Makada wa Vyama vyao pendwa kupitia 'Utumbuaji' & 'Matamko' mbalimbali na hata 'Vitisho' kwa wale waliochini yao.

Mfano mzuri: A anashirikiana na C na D, hivyo B hawezi kuwafanya kitu C & D walio chini yake kwakuwa yeye B ni mdogo kwa A.

Maslahi Kwanza.
 
Awamu iliyopita Viongozi wengi walikua wanasanuana wenyewe kwa wenyewe kwasababu 'Kuliko Kibarua changu kiote nyasi ni heri nimwage Ugali wako' kwa maana 'Kiongozi Mkuu' aliyekuwepo alipendezwa sana na 'Utendaji Bora'.
 
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.

Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia ubadhirifu siyo ujasusi wa kuripoti namna watu walivyofanya ubadhirifu. Kuripo ubadhirifu huku ukijua kabisa hatua atakazochukua mwanasiasa tunayemtumikia ni kuelekeza mtumishi asimamishwe kazi nikutumia rasimali ujasusi vibaya. It's like kazi ya majasusi WETU nikusaidia utumbuaji jambo ambalo linagharama kubwa Kwa serikali kwani mtumbuliwa anaendelea kulipwa na Kwa sababu wapigaji wapo smart hata uchunguzi ukifanyika hakuna ushahidi unaopatikana na mwisho wa siku aliyetumbuliwa anarejeshwa ofisni au anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Kila siku tunaona viongozi wa kisiasa wakisoma tips flan walizoficha mfuko ni na kutumbua, huyo anayeweza kupeleka vimemo anashindwa nini kuzuia huo uhalifu usifanyike? Kwanini tuwe na majasusi wanaojipendekeza Kwa viongozi wakuu wa nchi? Wanalipwa kuwa chawa wa viongozi au wanalipwa kulinda rasilimali zetu? Kwanini Waziri mkuu anapobaini ubadhirifu asiwatumbue na mashushu Ili nao wajielimishe na wawe sehemu ya kusimamia uadilifu?

Mimi siyo mtaalamu wa usalama ila ningependa kuona maafisa usalama wakishirikiana na watendaji wa umma kuondoa ubadhirifu hasa pale TU wanapobaini upo mchezo mchafu unapangwa. Wakiwa proactive Kwenye uhalifu hakuna mtu atatumbuliwa baada ya Waziri mkuu kufika Kwenye Mkoa au RAIS au Waziri, utumbuaji ulitakiwa ufanyike na mamlaka ya nidhamu pale TU taarifa za Siri zinapopokelewa bila kusubiri mpango wa kuiba kukamilika.

Let assume wazir mkuu au RAIS ajaenda Kwenye mikoa means majasusi watakaa na taarifa huku wananchi wanateseka? Fanyeni kazi Kwa uadilifu lakini pia PM au President au Waziri akifika Kwenye halmashauri akakuta ubadhirifu atumbue pia walioshindwa kuintercept wizi usitokee Ili nao wasaidie kuijenga nchi kuliko kuwaaminisha kwamba wao ni exception. Majasusi wa TAKUKURU NA WENGINE wakitekeleza wajibu wao CAG hatapinguza hoja na kutumbuana arharani kutakoma.

Tanzania pekee ndiyo nchi kiongozi anaamini asipotumbua atakuwa ajafanya KAZI; nchi nyingine mbona huu utaratibu walishaachana nao miaka mingi?
Sisi tunaambiwa hawa watu wako kila mahali kila ofisi. Lakini ufisadi na wizi wa mali za umma kila siku unaendelea.
 
Wule ushauri wa Yericko Nyerere wa Ujasusi aa kidola na kiuchumi ni muhimu sana ili nchi yetu iendelee.

Kinyume na hapo tuendelee kuchekelea kupita bila kupingwa basi tu.
 
Sisi tunaambiwa hawa watu wako kila mahali kila ofisi. Lakini ufisadi na wizi wa mali za umma kila siku unaendelea.
Watu wengi hawajui jinsi hawa jamaa wanavyofanya kazi. Wao wanakusanya taarifa na kuzipeleka juu.. sasa kule juu ndio wanafanya maamuzi hatua gani ichukuliwe

Tatzo kule juu ndio wahusika wenyewe. Unadhani watawapa order ya kuchukua hatua?

Hawa jamaa wanafanya kazi ila wanavyunjwa moyo na mabosi
 
Basi kuna tatizo kubwa, so hawataki kuwa independent? Katiba mpya yenye kuzingatia utawala bora wanaiunga mkono?
 
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.

Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia ubadhirifu siyo ujasusi wa kuripoti namna watu walivyofanya ubadhirifu. Kuripo ubadhirifu huku ukijua kabisa hatua atakazochukua mwanasiasa tunayemtumikia ni kuelekeza mtumishi asimamishwe kazi nikutumia rasimali ujasusi vibaya. It's like kazi ya majasusi WETU nikusaidia utumbuaji jambo ambalo linagharama kubwa Kwa serikali kwani mtumbuliwa anaendelea kulipwa na Kwa sababu wapigaji wapo smart hata uchunguzi ukifanyika hakuna ushahidi unaopatikana na mwisho wa siku aliyetumbuliwa anarejeshwa ofisni au anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Kila siku tunaona viongozi wa kisiasa wakisoma tips flan walizoficha mfuko ni na kutumbua, huyo anayeweza kupeleka vimemo anashindwa nini kuzuia huo uhalifu usifanyike? Kwanini tuwe na majasusi wanaojipendekeza Kwa viongozi wakuu wa nchi? Wanalipwa kuwa chawa wa viongozi au wanalipwa kulinda rasilimali zetu? Kwanini Waziri mkuu anapobaini ubadhirifu asiwatumbue na mashushu Ili nao wajielimishe na wawe sehemu ya kusimamia uadilifu?

Mimi siyo mtaalamu wa usalama ila ningependa kuona maafisa usalama wakishirikiana na watendaji wa umma kuondoa ubadhirifu hasa pale TU wanapobaini upo mchezo mchafu unapangwa. Wakiwa proactive Kwenye uhalifu hakuna mtu atatumbuliwa baada ya Waziri mkuu kufika Kwenye Mkoa au RAIS au Waziri, utumbuaji ulitakiwa ufanyike na mamlaka ya nidhamu pale TU taarifa za Siri zinapopokelewa bila kusubiri mpango wa kuiba kukamilika.

Let assume wazir mkuu au RAIS ajaenda Kwenye mikoa means majasusi watakaa na taarifa huku wananchi wanateseka? Fanyeni kazi Kwa uadilifu lakini pia PM au President au Waziri akifika Kwenye halmashauri akakuta ubadhirifu atumbue pia walioshindwa kuintercept wizi usitokee Ili nao wasaidie kuijenga nchi kuliko kuwaaminisha kwamba wao ni exception. Majasusi wa TAKUKURU NA WENGINE wakitekeleza wajibu wao CAG hatapinguza hoja na kutumbuana arharani kutakoma.

Tanzania pekee ndiyo nchi kiongozi anaamini asipotumbua atakuwa ajafanya KAZI; nchi nyingine mbona huu utaratibu walishaachana nao miaka mingi?
Umeandika ukweli tupu
 
Mkuu

Umeeleza kwa uchungu sana ambao hata watu wengine wenye kariba ya kwako walikuwa wanafikiria ni kwanini.

Hata hivyo tambua kwamba usalama wa taifa wamejikita sana kulinda maslahi ya watawala sio wananchi. Usalama wa taifa wapo miongoni mwenu kuanzia mkulima, mfugaji, mwanafunzi, mfanyabiashara, mfanyakazi, mwanasiasa, machinga, mpiga debe, dereva, kuli, mlinzi nk na taarifa zinapelekwa kwa mkuu wa kanda husika kabla ya kufikishwa kwa mkurugenzi mkuu kwa uhakiki na maandalizi kupelekwa kwa rais kila siku (daily briefing/debriefing with head of state). Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996).

Hicho chombo kiwekuwa 'politicised' sana siku hizi
 
Kila mtu anaakili nyingi huyo jasusi unadhani naye hana njaa!
 
Majasusi mnawakuza sana, mnafikiri wanaweza kufanya kila kitu nchi hii.
Nchi imara zinatokana na ugatuzi wa madaraka na mifumo imara. Majasusi wenyewe wengine nao ni wezi.
 
Vyombo vya usalama nchini Tanzania ni kama maji, yanafuata rangi ya chombo......
Akiwepo Raisi dikteta basi na wao wanafyeka roho za watu kwelikweli.....
Akiwepo Raisi fisadi basi na wao watasaidia kufanikisha huo ufisadi.....
Akiwepo Raisi Leissez Faire basi na wao wanakuwa Leissez Faire......
 
Well said
 
Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria.

Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia ubadhirifu siyo ujasusi wa kuripoti namna watu walivyofanya ubadhirifu. Kuripo ubadhirifu huku ukijua kabisa hatua atakazochukua mwanasiasa tunayemtumikia ni kuelekeza mtumishi asimamishwe kazi nikutumia rasimali ujasusi vibaya. It's like kazi ya majasusi WETU nikusaidia utumbuaji jambo ambalo linagharama kubwa Kwa serikali kwani mtumbuliwa anaendelea kulipwa na Kwa sababu wapigaji wapo smart hata uchunguzi ukifanyika hakuna ushahidi unaopatikana na mwisho wa siku aliyetumbuliwa anarejeshwa ofisni au anashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi.

Kila siku tunaona viongozi wa kisiasa wakisoma tips flan walizoficha mfuko ni na kutumbua, huyo anayeweza kupeleka vimemo anashindwa nini kuzuia huo uhalifu usifanyike? Kwanini tuwe na majasusi wanaojipendekeza Kwa viongozi wakuu wa nchi? Wanalipwa kuwa chawa wa viongozi au wanalipwa kulinda rasilimali zetu? Kwanini Waziri mkuu anapobaini ubadhirifu asiwatumbue na mashushu Ili nao wajielimishe na wawe sehemu ya kusimamia uadilifu?

Mimi siyo mtaalamu wa usalama ila ningependa kuona maafisa usalama wakishirikiana na watendaji wa umma kuondoa ubadhirifu hasa pale TU wanapobaini upo mchezo mchafu unapangwa. Wakiwa proactive Kwenye uhalifu hakuna mtu atatumbuliwa baada ya Waziri mkuu kufika Kwenye Mkoa au RAIS au Waziri, utumbuaji ulitakiwa ufanyike na mamlaka ya nidhamu pale TU taarifa za Siri zinapopokelewa bila kusubiri mpango wa kuiba kukamilika.

Let assume wazir mkuu au RAIS ajaenda Kwenye mikoa means majasusi watakaa na taarifa huku wananchi wanateseka? Fanyeni kazi Kwa uadilifu lakini pia PM au President au Waziri akifika Kwenye halmashauri akakuta ubadhirifu atumbue pia walioshindwa kuintercept wizi usitokee Ili nao wasaidie kuijenga nchi kuliko kuwaaminisha kwamba wao ni exception. Majasusi wa TAKUKURU NA WENGINE wakitekeleza wajibu wao CAG hatapinguza hoja na kutumbuana arharani kutakoma.

Tanzania pekee ndiyo nchi kiongozi anaamini asipotumbua atakuwa ajafanya KAZI; nchi nyingine mbona huu utaratibu walishaachana nao miaka mingi?
Sasa kama kitu kimezuiwa, wewe utajuaje? Ninyi mnajua cases chache zinazofikia ngazi hiyo ya kutumbuana.
 
Kwani wakizuia uhalifu huwa wanatangaza? Na kama huwa hawatangazi, hiki ulichoandika hapa kina authenticity ipi?
Huwezi ukajua statistics za yale wanayozuia kwa sababu huwa hawatoi PRESS RELEASE. Utajua tu yale ambayo huwa yanawaponyoka, na ambayo ni machcahe muno kwa idadi ukilinganisha na yale wanayozuia. Hata hivyo, yanayowaponyoka huwa yanaonekana kuwa ni mengi kwa sababu yenyewe huwa yanajitangaza yenyewe,wakati yale mengine wanayozuia hakuna hata moja ambalo huwa linajitangaza. Hili swala ni la kutumia LOGIC tu kuling'amua na wala halihitaji mtu kuwa mahiri sana kwenye eneo fulani
 
Back
Top Bottom