ANC hawakuitambua Serikali ya Makaburu lakini walifanya maridhiano nao; CHADEMA ndiyo inachokifanya

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau zamani nikisikia Mtu ni PROFESA nilikuwa nina Amini ana AKILI sana ndio maana akawa PROFESA.
Nilianza kupoteza Imani yangu kwa hao MAPROFESA baada ya kuibuka kwa Baadhi ya MAPROFESA Wasiojitambua kwa kutoa HOJA DHAIFU

Kuna PROF. wa UDSM na MBUNGE wa UBUNGO anadai CHADEMA Watafanyaje MARIDHIANO na SERIKALI ambayo HAWAITAMBUI?

Namkumbusha tu pamoja na UPROFESSA wake Je MARIDHIANO ya SERIKALI ya MAKABURU na Waafrika(ANC) kule AFRIKA ya KUSINI Je WAAFRIKA walikuwa WANAITAMBUA ile SERIKALI ya MAKABURU?

Je WAAFRIKA Wangegoma kufanya yale MARIDHIANO Je NELSON MANDELA angekuwa RAIS au RAMAPHOSA?
Wanachofanya CHADEMA ndio hicho hicho WALICHOFANYA ANC kwa MAKABURU

1653076413523.jpg
 
Mimi wa zamani nchi hii maprofesa ambao walikuwa wanatumia vichwa vyao na sio matumbo yao ni
Prof Shaba
Prof Shivji
Prof Sarungi na wengineo wachache
Wengi ni wa majalalani na wanaokana thesis zao.
 
Wadau zamani nikisikia Mtu ni PROFESA nilikuwa nina Amini ana AKILI sana ndio maana akawa PROFESA.
Nilianza kupoteza Imani yangu kwa hao MAPROFESA baada ya kuibuka kwa Baadhi ya MAPROFESA Wasiojitambua kwa kutoa HOJA DHAIFU

Kuna PROF. wa UDSM na MBUNGE wa UBUNGO anadai CHADEMA Watafanyaje MARIDHIANO na SERIKALI ambayo HAWAITAMBUI?

Namkumbusha tu pamoja na UPROFESSA wake Je MARIDHIANO ya SERIKALI ya MAKABURU na Waafrika(ANC) kule AFRIKA ya KUSINI Je WAAFRIKA walikuwa WANAITAMBUA ile SERIKALI ya MAKABURU?

Je WAAFRIKA Wangegoma kufanya yale MARIDHIANO Je NELSON MANDELA angekuwa RAIS au RAMAPHOSA?
Wanachofanya CHADEMA ndio hicho hicho WALICHOFANYA ANC kwa MAKABURU

View attachment 2238029
Hii photo kuna watu wakiiona kiroho kinawadunda.
 
Mwl Nyerere aliwahi kusema Kaburu ni Kaburu tu hata kama ni Mweusi🤣
Lakini sidhani kama alipokuwa anasema hayo(kaburu au bepari?) ilikuwa na chuku chuku kama bandiko tangulizi.

Nafikiri Lord O/efyo amekwazwa na Profesa au maprofesa au?

...'wataridhiana'
 
Back
Top Bottom