Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu Mwanzo Nilileta Uzi Wa kwanba Hangaya anasafiri Kwenda India, Ni Ghana na Sio India.
Rais Samia ameondoka Nchini Kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya Ziara ya kikazi ya siku tatu Nchini Humo.
======
Rais Samia anatarajiwa kuondoka leo kuelekea Accra Ghana kwa ziara ya kikazi ya siku 3 nchini humo.
Rais anatarajiwa kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kupanda kwa bei ya vyakula na matumizi ya nishati endelevu.
Aidha anatarajia kupokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ambayo hutolewa kila mwaka kwa Mkuu wa Nchi iliyofanya vizuri zaidi.

Hii ni ziara ya 6 kwa mwaka 2022, na ni ziara ya 12 tangu Rais Samia aingie madarakani.
Kujua safari nyingine za Rais soma Ziara za Rais Samia Suluhu Hassan tangu alipokuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Tanzania