Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo, viongozi wa BAVICHA, John Pambalu na ujumbe wake wamekamatwa na jeshi la Polisi Babati wakiwa kijiweni, wakijadili na vijana wenzao masuala ya nchi yao. Polisi Babati wanasema hili ni...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Bila vyama vya siasa haina haha ya Tume ya Uchaguzi na bila Msajili wa vyama vya siasa hakungekuwepo vyama vingi vya siasa. Sasa kwanini Msajili wa vyama vya siasa " Anajidogodesha" kwa Tume ya...
2 Reactions
7 Replies
871 Views
Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa...
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Wanaukumbi. Hapa ndiyo makao makuu ya CHADEMA, chama kilichofanya siasa miaka zaidi ya 30, kweli jamani? Hebu angalia mali wanazomiliki viongozi wa chama hicho, wengine wametoka ‘University of...
6 Reactions
64 Replies
3K Views
Naomba kuuliza wanajukwaa, kuna umuhimu gani kwa wanasiasa kutembelea makaburi ya viongozi waasisi wa mataifa?
0 Reactions
0 Replies
384 Views
Mchakato wa kudai katiba mpya ni mchakato muhimu sana, ambao kwa maoni na mawazo yangu ni muhimu ufanyike kukiwa na elimu kubwa sana ya uraia miongoni mwa wananchi. Kwa bahati mbaya wanasiasa...
0 Reactions
2 Replies
969 Views
Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
6 Reactions
88 Replies
9K Views
Upon mfumumuko mkubwa wa za bidhaa nchini, maeneo yaliyoathirika Zaidi ni nishati na chakula. Kupanda kwa bei hizi kulipaswa kuwa agenda za kujadiliwa kabla ya kujadili siasa. Mtu mwenye njaa ni...
15 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi karibuni serikali iliunda Jopo au Kamati maalum ya wataalamu, ili kwenda kuufanyia marekebisho wimbo wetu wa Taifa. Kutokana na maelezo yaliyotolewa na Naibu katibu mkuu wa wizara ya...
2 Reactions
9 Replies
819 Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amemtaka serikali ya JMT iwe ya. Umoja wa Kitaifa kama Zanzibar CUF Ilikuwa inawasilisha maoni yake mbele ya Kikosi kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe. ===...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Saidi Yakubu leo Mei 10, 2022 jijini Dodoma amekutana na wataalamu wa Ala za Muziki ambao wanapitia Wimbo wa Taifa, Wimbo wa Uzalendo na...
5 Reactions
55 Replies
4K Views
Tanzania 🇹🇿 kama taifa tumekuwa tukijivunia kupanda kwa akiba yetu ya fedha za kigeni na pia tumekuwa tukijivunia kiasi kikubwa cha chakula tulicho nacho kwenye maghala ya kuhifadhi nafaka...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
SHAKA ATOA SIKU 7 KWA VIONGOZI WA SOKO LA FERI KUMALIZA CHANGAMOTO ZAO Katibu wa NEC, itikadi na uenezi wa Chama chs Mapinduzi CCM Shaka Hamdu Shaka, ametoa muda wa Siku Saba kwa Viongozi wa Soko...
0 Reactions
2 Replies
564 Views
Nimeiangalia video ya Mheshimiwa mbunge wa Arumeru namna alivyopanda juu ya meza yake na kusimama miguu kichwa chini. Siwezi kusema sikushangazwa sana kama wengi walioiona video hiyo kwa mara ya...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kumekuwa na ripoti mbalimbali juu ya watoto wadogo kulawitiwa na walimu wao, lakini pia Kuna vitendo vya baadhi ya wanafunzi wa shule za msingi kulawitiana wenyewe kwa wenyewe. Hii ni hatari sana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama ni kweli anayoyasema Mh. Freeman A. Mbowe kwenye video hii wakati wa kikao cha Baraza Kuu kuhusu Halima Mdee na wenzake maarufu kama COVID-19 ni kweli, basi huyu mtu IS REALLY A TRUE and A...
1 Reactions
2 Replies
938 Views
Naibu Msajili wa vyama vya siasa nchini mh Nyahoza amesema siyo kweli ofisi yake inachochea migogoro kwenye vyama vya siasa. Nyahoza amesema ufisadi na Tamaa ya madaraka ndio sababu kuu ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
SHAKA ATAKA WANANCHI WAPEWE NAFASI KUSHUHUDIA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
In short kuweni kitu kimoja muweke mgomo wa kutomtambua Msajiri wa vyama vya siasa, mkitaja sababu za kufanya hivyo. Short of that atawamaliza. It is unthinkable kuwa anabariki uasi kwenye NCCR...
5 Reactions
13 Replies
858 Views
Sijaelewa haya Maridhiano yanayosimamiwa na CCM kwa ushirikiano na Chadema yanahusu taifa au hivyo vyama viwili pekee. Kwa sababu kama ni siasa za Kitaifa, CCM imeshawasilisha mapendekezo yake...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…