Nani anaendesha nchi endapo Rais na Makamu wa Rais watakuwa nje ya nchi?

Ukiwa mjinga ukaona mikwara kama hii unaweza kufikiri kuwa nchi ina Rais😁😁😁
View attachment 2235351
Wenzio walienda ikulu juzi kula visheti, wewe unanyambanyamba tu hapa jamii forum.

images (68).jpeg
 
Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.

(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi

c) Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya
Muungano.
 
Katiba yetu inasemaje kuhusu chain of command, najua Rais akiwa hayupo Makamu hukaimu, sasa nimesikia Rais na yeye anaondoka ina maana Rais na Makamu wake wote wako oversees, nani anakaimu?
Mimi
 
3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.

(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi

c)Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya
Muungano.

Asante sana, kwa hiyo sasa hivi Nchi iko chini ya Spika wa Bunge, kama sijakosea!
 
3) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.

(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi

c)Jaji Mkuu wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya
Muungano.
Kwahiyo nanii ndio anatutawala saizi?
 
Back
Top Bottom