Kwanini Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekuwa kama Idara ya Tume ya Uchaguzi badala ya kinyume chake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,603
141,421
Bila vyama vya siasa haina haha ya Tume ya Uchaguzi na bila Msajili wa vyama vya siasa hakungekuwepo vyama vingi vya siasa.

Sasa kwanini Msajili wa vyama vya siasa " Anajidogodesha" kwa Tume ya Uchaguzi?

Yaani hata Mkurugenzi wa Uchaguzi mh.Mapesa anaonekana ni mkuu kuliko Mtungi why?
 
Bila vyama vya siasa haina haha ya Tume ya Uchaguzi na bila Msajili wa vyama vya siasa hakungekuwepo vyama vingi vya siasa.

Sasa Kwanini Msajili wa vyama vya siasa " Anajidogodesha" kwa Tume ya Uchaguzi?

Yaani hata Mkurugenzi wa Uchaguzi mh.Mapesa anaonekana ni mkuu kuliko Mtungi why?
Nyie CWT mmechangia sn hili jambo
 
Ofisi ya so called msajili wa vyama ni ufisadi wa hali ya juu, futilia mbali uchafu huu, uchaguzi unasimamiwa na NEC na vyama vya kisiasa vinawajibika kwenye tume hii ya uchaguzi,na vinatakiwa vijisajiri kwenye tume hii maana ndio wenye uchaguzi, tuelewe vyama vya siasa ni vya hiari, usajili wake rasmi ufanyike home affairs ili kupata namba ya usajili.
 
Back
Top Bottom