Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Waziri wa fedha alitangaza tozo zilizopitishwa na Bunge letu,na kujinasibu kuwa tumekusanya fedha nyingi Sana za tozo. Kwa kuwa lengo la tozo hizi zilikuwa kujenga madarasa na vituo vya...
0 Reactions
3 Replies
809 Views
Kati ya Jambo linaloshangaza wengi hadi sasa ni kitendo cha serikali kushindwa kujua kuwa billion 100 isingekuwa Suluhu la ongezeko kubwa la bei ya mafuta ya petrol na dizeli. Watanzania wengi...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Huu ni ujumbe toka kwa kijana machachali na mwanaharakati wa CHADEMA , Akihaidi kumpelekea moto mtu ambaye hajamtaja jina, CHADEMA INA WATU
7 Reactions
24 Replies
3K Views
27 May 2022 UN HQ / Makao ya Umoja wa Mataifa New York Mashujaa Watanzania wawili miongoni mwa waliotunukiwa medali ya Dag Hammarskjold Askari wa Tanzania waliopoteza maisha, Luteni Kanali...
7 Reactions
32 Replies
4K Views
TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE 1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee Tanzania...
3 Reactions
16 Replies
91K Views
Ukweli ni kwamba Watanzania wengi wamekichoka Chama cha Mapinduzi, lakini ni ukweli pia nje ya Chama cha Mapinduzi hakuna chama mbadala, kwa sasa upepo umebadilika, baada ya kifo cha Magufuli kuna...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Huu ni ushauri ninaoupeleka kwa Mamlaka za Biashara za Tanzania kuhusiana na Maonesho ya biashara ya Kimataifa yanayojulikana kama maonesho ya sabasaba yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanaukumbi. CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani. Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961. Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani...
0 Reactions
97 Replies
5K Views
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
2025 Mama atashinda hilo halina ubishi kwani Haijawai tokea kwakweli. Rais anapendwa na watu namna hii. Ameonyesha nia yake ya kupenda, kujali na kutekeleza yale yote aliyoyaahidi. Haki✅ Usawa✅...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
AMOS MAKALLA, MKUU WA MKOA WA DAR Kwanza niseme hali ya mkoa ipo salama, hali nishwari tunaendelea na shughuli zetu. Kwahiyo, hata ile operesheni ya panya buku na panya road imefanikiwa kwa kiasi...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, hakuna chama chenye nguvu kama CCM. Yaani nguvu kwa Rasilimali, watu na hata ushawishi kwa watu wake. Ni vyema wapinzani mkalitambua hilo kwanza...
1 Reactions
12 Replies
792 Views
Mwamba wa Chadema alijifanya nunda lakini mwisho wake alituma viongozi wa dini ili wamchomoe na akalia sana kwa hudhuni ya huruma. Sasa hivi habari ya katiba mpya na kudai haki za wanyonge...
2 Reactions
56 Replies
3K Views
Nimemfahamu ndg Tundu Lissu at least 2008 nikiwa chuo. Sijawahi kusoma historia yake. Nilipenda speed yake kama kijana hasa akiwa bungeni lakini as time went on nikawa nalose interest na baadae...
17 Reactions
69 Replies
4K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia...
7 Reactions
81 Replies
6K Views
Hivi ni takwimu walitoa Benki Kuu ya Tanzania mwanzoni mwa mwezi Machi 2022. Takwimu zinaonesha kwamba shughuli za utoaji wa huduma zimeimarika zaidi hadi kufikia Machi 2022 ukilinganisha na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Vijana wa Ufipa jiulizeni mbona mwenyekiti wenu hajavaa T-Shirt za Katiba Mpya? Hapo angefikisha Ujumbe vizuri kwa Mlengwa? Anakenua tu… Juzi nilishangaa sana kuona vijana wa...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi mkuu uliovurugwa, think tank ya Chadema iliona njia nzuri ya kulazimisha hayo yasitokee tena ni kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya. Leo kila chama ajenda kuu ni katiba mpya...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Tulikuwa tunawaambia kuwa Magufuli alikuwa mjinga, mshamba, katiri, zero brain kabisa, mkadhani tulikuwa tunamchukia. Ubabe wa Magufuli ulifanya nchi irudi nyuma, socially, economically na...
27 Reactions
119 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…