WIMBO: Tanzania, Tanzania nakupenda kwa moyo wote...

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

3. Tanzania Tanzania, watu wengi wanakusifu,
Siasa yako na desturi, ilituletea uhuru
Hatuwezi kusahau sisi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

My Take:-
Je wewe leo hii unaweza kusimama na kuimba wimbo huu, kifua mbele na ukiwa na furaha kama enzi zile? naona umaarufu wa wimbo huu umepotea, au na wenyewe ulikuwa ndani ya kakitabu ka AZIMIO LA ARUSHA.

Naomba kuwakilisha.
 
Wenye moyo na nchi yao...tumebakia wachache sana.....uzalendo wote...umeishia na umekwenda na maji....ya ufisadi
 
TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

3. Tanzania Tanzania, watu wengi wanakusifu,
Siasa yako na desturi, ilituletea uhuru
Hatuwezi kusahau sisi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

My Take:-
Je wewe leo hii unaweza kusimama na kuimba wimbo huu, kifua mbele na ukiwa na furaha kama enzi zile? naona umaarufu wa wimbo huu umepotea, au na wenyewe ulikuwa ndani ya kakitabu ka AZIMIO LA ARUSHA.

Naomba kuwakilisha.

Yap I can sing the same melody... Proudly!

Tanzaniaaa Tanzaniaaaa!!
Nakupenda kwa moyo woooteee
Nchi yangu Tanzaniaaaa

Stori zako ni tamuu saanaaa weeee...!!
Nilalapo nawaza Vijisentiiii
Niamkapo ni Ukapa mamaaa weee!

Tanzania Tanzaniaaaa
Nakupenda na EPA zakoooooo

TANZANIA.... TANZANIAAA...!!!

The only country which its footballers play BUT do not win!!
The only country which Mzungu comes with one dollar and leaves with millions of them!!
The only country which its engineers build but the houses prematurely fall down!!
The only country with Politicians who believe in voo doo na Mauchawi!!!

The only country where ufisadi is a Prestige!!!
The only country with many toothless TUMEz!!
The only country which its development is in Figures!! But invisible!!
The only country where politicians are richest men!!
The only country where both English and Kiswahili Languagez iz a problem!!

AND THE ONLY COUNTRY which its PRESIDENT keeps on SMILING despite of national difficulties!!!

THE ONLY COUNTRY WITH HANDSOME PREZZIDAAA!! !

I REALLY LUV THIS COUNTRY!!
 
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana,
Kila nilalapo nakuota wewe,
Kila niamkapo ni heri mama wee,
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.
 
Tumetoka mbali....

Nakumbua siku naanza darasa la kwanza siku hiyo nikiwa nimevaa kaptula ya khaki na shati la khaki, nakumbuka niko parade mbele yangu yupo Mwalimu mkuu na pembeni kuna bendi ya shule. Wote tumesimama kimya wimbo wa Tanzania Tanzania nakupenda unaanza......wote tunaimba kwa furaha nyuso zote zinaonyesha kweli tunaipenda nchi yetu.

Hakika nazikumbuka siku hizo za mapenzi halisi kwa nchi yangu najiuliza huo upendo umekwenda wapi. Natamani kama rais wangu angekuwa anaukumbuka huu wimbo. Kwa tuliokuwepo enzi hizo hebu tujikumbushe tuimbe pamoja wakati huu wa kusherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi yetu.....

Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.........
 
Last edited by a moderator:
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu Tanzania
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe
Niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.........

Wakikua na kuona clip hii watajilaumu kwa nini waliimba huu wimbo,maneno ya wimbo ni tofauti kabisa na hali yao.
 
Asante wimbo umenikumbusha mbali sana wakati viongozi bado ni viongozi kweli kweli na watanzania tulikuwa tunajivunia kuitwa watanzania.
 
naipenda tanzania ila nimeanza kuichukia kwa ajili ya mafisadi
 
TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE

1. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

2. Tanzania Tanzania, ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu, biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

3. Tanzania Tanzania, watu wengi wanakusifu,
Siasa yako na desturi, ilituletea uhuru
Hatuwezi kusahau sisi, mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.

My Take:-
Je wewe leo hii unaweza kusimama na kuimba wimbo huu, kifua mbele na ukiwa na furaha kama enzi zile? naona umaarufu wa wimbo huu umepotea, au na wenyewe ulikuwa ndani ya kakitabu ka AZIMIO LA ARUSHA.

Naomba kuwakilisha.
Jf kuna mambo mazuri.
hawa watu wako wapi
au wamebatizwa tena
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom