Jakaya Kikwete weka mipaka kwenye urafiki

Eric Cartman

JF-Expert Member
May 21, 2009
11,967
11,212
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora. Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea. Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.

Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete. Ridhiwani amekuwa mbunge toka baba yake rais. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.

Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi hamvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za ulezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.

Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata hawawezi kujiendeleza; na ndio hicho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.

Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wadogo zake ni jasho lao.

Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
 
Matajiri wana kanuni moja, hawana muda wa kukashifu wala kejeli yeyote.

wao wako busy kusaka chenji tu ila sie Masikini kazi yetu ni ku assess ujanja wa watu kujua nani mjanja nani sio mjanja na hiyo kazi tuliyojipa haitusaidii chochote zaid ya kutuongezea chuki na msongo wa mawazo.
Ridhiwani nje na kuiba mali za umma hana ujanja wowote
 
Matajiri wana kanuni moja …hawana muda wa kukashifu wala kejeli yeyote

wao wako busy kusaka chenji tu ila sie Masikini kazi yetu ni ku assess ujanja wa watu kujua nani mjanja nani sio mjanja na hiyo kazi tuliyojipa haitusaidii chochote zaid ya kutuongezea chuki na msongo wa mawazo
Acha kujifanya hamnazo na wewe, kwanini hataki kujitenga na system? peleka ujinga wako huko kwa mumeo
 
Sasa wewe uelewake maudhui ya andiko la ko, mara watoto wake mara watoto wa marafiki zake mara ni fisadi,.....Dude acha kujadili personality jadili issue, mtu mwenye wivu wa wengine kufa mapema
Issue ipo wazi “shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza”.

Jakaya Kikwete ni mstaafu na hajiingizi kwenye siasa kwa sababu ya njaa. Wala mwanawe hanufauki kwa uwepo wake.

Ridhiwani uwaziri ni prestige tu lakini sio kimaslahi ila halipo tayari ni tajiri; siku mkijua anamiliki nini wengi mnaweza dhani hizo mali kazi pata baada ya uwaziri.

Issue inakuja kwa watu kama Nape na January hawana tangible investment awawezi kuwekeza kwenye biashara ambapo Jakaya Kikwete inabidi awabebe watoto wa rafiki zake kila siku kupata mwanya wa kuiba serikalini au ndani ya CCM.
 
Hahah

na Wewe Baba yako kakufikisha wapi? Kama huridhiki na role ya Baba yako mlaumu Mama yako

Hata Mimi sina maisha kama ya Ridh lakin kidogo nilichonacho msingi wake aliuchimba Marehemu Baba yangu miongo kadhaa iliyopita

Bila babake leo hii angekuwa Naibu Waziri? Hata huo ubunge angeupata? Tuanzie hapo kwanza.

Pengine ni kweli ana hela zake lakini kuwezi kumtenga na kufaidika kwake na system....
 
Nakushauri natufa mshauri wa kusaikolojia ukae nae karibu! Unaonekana una msongo sana wa mawazo!

Za chato lakini?
 
Issue ipo wazi “shibe mwana malevya, njaa mwana malegeza”.

Jakaya Kikwete ni mstaafu na ajiingizi kwenye siasa kwa sababu ya njaa. Wala mwanawe anufauki kwa uwepo wake.

Ridhiwani uwaziri ni prestige tu lakini sio kimaslahi ila halipo tayari ni tajiri; siku mkijua anamiliki nini wengi mnaweza dhani hizo mali kazi pata baada ya uwaziri.

Issue inakuja kwa watu kama Nape na January hawana tangible investment awawezi kuwekeza kwenye biashara ambapo Jakaya Kikwete inabidi awabebe watoto wa rafiki zake kila siku kupata mwanya wa kuiba serikalini au ndani ya CCM.
Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufanana
 
Bendanda, Mimi sio Ridhiwani nakwambia tu matatizo ya Jakaya Kikwete; anavyolea walea watoto zake na kudekeza watoto wa marafiki zake ni tofauti kabisa.

Jakaya Kikwete watoto zake wake wote ni employed professionals on merit ukitoa wa mwisho.

J.K achukulii poa malezi ya watoto zake pamoja na mihela yake kama urithi baadae, ila anataka wajitegemee kwanza.

Tatizo mitoto ya rafiki zake ambayo anaipigania itatoboa kupitia CCM.

Ridhiwani ni tofauti na Nape na January; hata kama wanapiga deal zaidi yake. Ridhiwani ana miradi yake ambayo ilibidi ajinyime kuwekeza toka alivyoanza ubunge huyo ndio Jakaya Kikwete kwa malezi ya watoto wake jipange.

Ndio maana umuoni Ridhiwani akijependejeza kama Nape na January; kutafuta teuzi.
 
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora.

Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea.

Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.

Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete.

Ridhiwani amekuwa mmbunge toka baba yake raisi. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.

Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi amvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za uzalezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.

Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata awawezi kujiendeleza; na ndio icho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.

Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wagodo zake ni jasho lao.

Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Una roho ya kimasikini sana dogo
 
Wewe unataka kutuaminisha kwamba unajua January na Nape kuliko wanavyo jijua wenyewe wewe ni investment director wao kujua mali zao? Acha kila mtu ana mfumo wake wamaisha sio lazma kufanana
Namna unavyojipendekeza inatosha kutuambia njaa zako.

Mtu asie na njaa anaonekana na kuwaheshimu viongozi aliepita na aliyepo kama Bashe kwa kutambua wote wanachotaka kwake ni matokeo.

Mawaziri wenye njaa na wapiga deal ipo wazi; labda tu kama utaki kuona.
 
We mleta mada shika adabu yako, familia hii ya hovyo kuwahi kutokea Tz ndo unataka kutwambia nn eti?
 
Una roho ya kimasikini sana dogo
Kwanini?

Hivi wewe unajua Ridhiwani ameanza kujenga big shopping kwa hela za kuunga toka lini kama unajua ilipo na baba yake, pamoja na mihela yake ajamsaidia?

Hapa kama utaki kuwananga mafisadi tegemezi kama Makamba na Nape niache.

On that note good morning
 
Hivi mnajua Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mapungufu yake ya uraisi ni baba bora.

Huyu mzee kwa nafasi yake amelea watoto zake kwa kuwapa fikra za kujitegemea.

Jukumu lake amewawezesha kufikia malengo yao kama mzazi mwingine yeyote wajitegemee bila ya yeye.

Sasa mtoto ambae utajiri wake anaweza zushiwa mengi ni Ridhiwani kwa wasiomjua Jakaya Kikwete.

Ridhiwani amekuwa mmbunge toka baba yake raisi. Ila kwa kanuni za baba yake kila mtoto wake ajitegemee.

Ridhiwani amekuwa akitumia mapato ya ubunge kuwekeza kwenye vitega uchumi ambavyo wengi amvijui siku mkivujua mtashangaa kama ni vyake na mtamuzushia mengi vya ufisadi; ila ni mali za jasho lake yupo poa kwa jitihada zake na kwa kanuni za uzalezi wa baba yake ambae anataka watoto zake wajitegemee.

Tatizo la Jakaya Kikwete kanuni anazotumia kulea watoto zake sio anazotumia ku encourage kwa watoto wa marafiki zake ambao inabidi wajipendekeze CCM kuishi na wanachopata awawezi kujiendeleza; na ndio icho kinachomfanya huyu mzee kupambania influence ndani ya CCM.

Ila tuambizane ukweli baba yake Ridhiwani ni fisadi we all know, nonetheless kwa malezi aliyopewa Ridhiwani amewekeza na anafanya yake kabla ya uwaziri kwa hela zake; alichonacho Ridhiwani na wagodo zake ni jasho lao.

Tatizo ni mijitu kama Nape na January; Jakaya Kikwete anadekeza sana mitoto ya rafiki zake.
Kwa hiyo jasho la Ridhiwani wewe unalijua vizuri sana?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom