Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makundi yanayo muunga mkono Rais Samia Suluhu yana-reflect kwamba mama anaupiga mwingi kwa kazi anazofanya ndani na nje ya Tanzania. Makundi hayo ni: -Vyama vya Siasa vinaumuunga mkono ✅...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wasaalam wanabodi, Mimi Ni mdau wa maendeleo, linapokuja suala la maendeleo huwa nafurahi na kumpongeza hadharani kiongozi mleta maendeleo bila kuangalia katoka chama tawala au upinzani Naomba...
1 Reactions
7 Replies
861 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, jana imeshuhudiwa mheshimiwa rais akiwa mgeni rasmi kwenye birthday ya ndugu mr 2 au sugu au 2proud au Jongwe. Hii imeibua maswali lukuki hasa ikichukuliwa na muda...
20 Reactions
84 Replies
9K Views
👇 Haiwezekani watu wana kesi ndogo ndogo wako ndani halafu wenye kesi ya uhujumu uchumi unakaa nao tu (Waziri wa Nishati), huwezi kutofautisha suala la kusababishia hasara serikali katika suala la...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Sikumbuki kama Chadema mlirudisha shs 38 milioni mlizochangiwa na hayati Magufuli kwani viongozi wenu walishinda Rufaa na kurejeshewa faini zote mlizolipa...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kutokana na mazingira ya kisiasa iliyopo sasa kwa vyama shindani ni wazi kabisa vimekosa weledi na uwezo wa kuleta mawazo mbadala katika nchi. Hapo awali tulishuhudia wanachama na viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Tusifananishe KIKOSI KAZI na Tume za Kijaji za Nyalali, Kisanga na Warioba. Kikosi kazi hakikuundwa na Rais. Kimeundwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa baada ya AZIMIO la kikao cha Baraza...
11 Reactions
43 Replies
4K Views
Asalam! Moja kwa moja kwenye mada Jana nilipata bahati ya kuhudhuria kwenye ziara ya Mh waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Bw Kassimu Majariwa Ziara hiyo ilifanyika Jiji la Miamba...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
... ukitumia fedha kuupata ubunge ni hatari sana...... stay tuned on www.jamiiforums.com
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Sasa hivi ni rushwa na pesa yako ndio itakufanya usiende gerezani. Dpp na mahakama ndio imekuwa kitovu cha kuachia wenye pesa hata kama wanamakosa. Hayati JPM alidhibiti kabisa hii hali ya...
4 Reactions
55 Replies
3K Views
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha. kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa...
12 Reactions
184 Replies
12K Views
Kuna mambo ndani ya hii nchi yanavyokwenda ni bora utafute genge lako ili upambanie maisha ya wananchi ila hilo genge lisiwe na Chama chochote kile maana kwa jinsi vyama vya upinzani wanavyoanza...
9 Reactions
145 Replies
7K Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza Ufunguzi wa Maenesho Madogo ya Zana na Teknolojia ya Kijeshi ya India (India Mini Defence Expo)...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na...
0 Reactions
1 Replies
928 Views
Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA. Maneno haya huja baada ya...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Tangu tulipomaliza mwaka wa uchaguzi na kuingia mwanzo wa miaka mingine mitano CCM imejikita kwenye kampeni ya Urais 2025! Lugha iliyoko CCM hivi sasa ni Urais 2025! Hii inamaana kwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
"Natoa Wito Kwa Wanawake Wenzangu,wanaume ambao Hawajafanya Tohara Kushirikiana Nae Ni hatari, Hawafai Kabisa Kwa Matumizi ya Binadamu. Usitoe Huduma Ukikutana Na Mwanamme Ambaye Hajatahiriwa Kwa...
6 Reactions
163 Replies
12K Views
Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NA MWANDISHI WETU Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji wa Nandete uliopo wilayani Nanyumbu...
0 Reactions
3 Replies
618 Views
Back
Top Bottom