Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 259
- 353
Katika ukanda huu wa Afrika Mashariki na kati, hakuna chama chenye nguvu kama CCM. Yaani nguvu kwa Rasilimali, watu na hata ushawishi kwa watu wake.
Ni vyema wapinzani mkalitambua hilo kwanza kabla ya kutaka kuingia vitani na CCM. Mjue kwanza mnapambana na kitu gani na hatari zake ni zipi.
Falsafa ya JMP ilikuwa ni kutumia sana nguvu kuumaliza upinzani. Aliua, kuteka, kutesa na kuzuia kabisa mikutano ya hadhara, na mbali ya hapo, aliiba viongozi wajuu kutoka vyama vya Upinzani na kuwaingiza CCM kuua nguvu ya upinzani.
Tazama, Rais Samia Suluhu anatumia namna tofauti kabisa, anatumia hesabu kali sana kuwakata ngebe wapinzani. Rais anatuma njia tofauti kabisa na ambayo hadi wakija kugundua, wameshazungukwa kila upande, ni kichapo tu.
Rais Samia anatumia delaying tactic, yaani anajua kabisa CHADEMA wanataka Katiba Mpya, anajua kabisa wanataka Katiba Mpya. Lakini anafanyaje?
Kwanza haoneshi kama hataki, bali anawacheleweshea, mara anaita Ikulu, mata ameandaa chakula cha usiku na nyie, mara mumeandaa tamasha lenu mumemwita kama mgeni rasmi na shughuli nyingine ambazo kimsingi, zinawavunja nguvu ya madai yenu..
Rais Samia ni genius, kama wewe ni mwana CHADEMA, itakuwa umeshaanza kuona taratibu kama kuna kampasuko kameanza kuchomoza ndani ya CHADEMA. Tangu mbowe atoke gerezani, CHADEMA haina nguvu, inshort upinzani umepwaya.
Kuna watu ndani ya CHADEMA hawaridhishwi na vikao vya Mama na Mbowe, wanaona ni usaliti. Kama Lema, ndio hapendi hata kuona... akina MMM ndio kabisaa.. So haya yote na matokeo ambayo CCM waliyashayaona tayari, na watazidi kuwavuruga.
Viongozi wengi wa CHADEMA wana njaa kwa sasa. Kila mkakati wa siri wa vikao vya CHADEMA tayari CCM wanaujua, yaani kuna makada wa CHADEMA wakipwa bakhsishi wanachia kila kitu. Inshort ni kwamba milele na milele, CHADEMA watakuwa tu wapinzani na katu hawatokuja kuwa watawala.
Why? Kwanza Njaa kali, pili hawana watu makini na mipango thabiti, tatu sio wapinzani wa kweli, pesa mbele, nne hakuna mtu yuko tayari kufa kwa ajili ya hii nchi.