CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,933
32,342
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
 
Basi peleka mashitaka Kwa msajili kwani ndiyo kimbilio la Wana CCM kuweza kuhakikisha uwepo wao.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Bwana RITZ mbana hazo hoja zilipendwa, tafuta zingine hizo hazina mashiko.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Kumbe Ritz na johnthebaptist ni kitu kimoja, achana na CDM, kashindwa Magufuli sembuse nyi vikaragosi
 
Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?

Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?

Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.

Miaka 30 kwenye siasa huku wakishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Wanaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?

Na pale waliposhitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.

Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.

Wapi usafi wao!

Je!
Wana tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
ACHA KUWAZA UPUUZI KILA WAKATII
 
Kwani uhai wa nchi ni kuiondoa CCM madarakani?

Kabla ya kupewa nchi chadema ilipaswa kuwa mfano bora kuanzia uongozi wake yenyewe.

Miaka 30 kwenye siasa huku mkishindwa hata kujenga ofisi ya makao makuu ya chama.
Mnaishia kulipa pango kwa mke wa Anthony Komu?

Na pale mlipishitukiwa ndio chadema imejtahidi kununua ile nyumba ya mbele tu.

Chama cha Baba mkwe amempa mkwe wake Uenyekiti na hataki kubanduka.

Wapi usafi wao!

Je!
Mna tofauti gani na CCM hii ya Wahuni kina Nape?
Unajielewa kweli brother?

Freeman Mbowe ni Mkwe wa Mzee Edwin Mtei

Freeman Aikael Mbowe ameoa mtoto wa kike wa mzee Mtei (muasisi na mmiliki wa CHADEMA)

Sasa hauoni chama ni kama ‘Group la WhatsApp la Familia”?
 
ACHA KUWAZA UPUUZI KILA WAKATII
CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?

Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.

Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.

Kifupi mnapoteza MUDA tu.
 
Katiba Mpya ni takwa la Watanzania wewe! Hao Chadema wamejitolea tu kuwasemea mamilioni ya Watanzania baada ya kugundua ninyi CCM hamtaki mabadiliko ya kweli ya nchi hii.
Unaelewa maana ya demokrasia?

CHADEMA kina demokrasia gani?

Kama Mwalimu Nyerere baada ya Uhuru angempa nchi Shemeji yake, kisha akafuatia mkwe wake, watoto wake, ndugu zake leo tungekuwa na Rais Samia kutoka Zanzibar?

Mbowe ni Mkwe wa Edwin Mtei muasisi wa CHADEMA.
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
Ndiyo maana tunataka tuitumie hiyo katiba mpya kuwaondoa viongozi ving'ang'anizi wa vyama na chama chenye dola Kama raia hairiziki na utawala wake.

CCM mkubali mmeshindwa kuongoza. Ishu iliyopo ni blabla na kupiga hela.
 
Mbona hueleweki unataka nini! au hoja yako haswa ni nini?

Katiba mpya na utawala wa CCM au Chadema inahusiana nini? Kwenye uhai wa nchi we unaleta mambo ya vyama. katiba mpya ni zaidi ya vyama vya siasa.
Mkujki kwa nguruwe...
 
2022 - 1993 = 29 . Aisee , I did not knew about this.

Yaani kama Mtoto Alizaliwa Kipindi hicho Sasa ni Baba au Mama mtu mzima..!

Kamanda bado anadunda na Kiti haachiii..!
 
CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?

Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.

Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.

Kifupi mnapoteza MUDA tu.
Sema watanzania ni wakimya Sana. Lakini ukiitishwa uchaguzi wa haki na time ikasimamia kwa haki CCM mtaambulia 0%.

Watu wanahasira za kufa mtu. Tunawaona hata huko kwenye misiba wanapotoa salamu watu wanvyoguna na kutoa macho Kama wanataka kumrukia mtu.
 
CHADEMA mnazani watanzania ni wajinga?

Yaaani mnaongoza harakati za kudai Katiba Mpya ya nchi wakati nyie kwenye chama chenu hakuna Haki wala demokrasia.

Mtatushawishi vipi wakati nyie wenyewe chama chenu kinaendeshwa na sauti ya mtu mmoja.

Kifupi mnapoteza MUDA tu.
ACHA UJINGA. Thibitisha chadema hakuna demokrasia
 
Wanaukumbi.

CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani.

Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961.

Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993?

Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?

Acha upotoshaji wewe.
 
Back
Top Bottom