Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimepita mahala ktk wilaya fulani nimeisahau jina ila katika mkoa wa njombe mkuu wa wilaya anahutubia,na mkutano huo umeitishwa ghafla tu ktk siku ya leo ambayo inasemekana ya mazingira duniani...
1 Reactions
7 Replies
871 Views
Mh Waziri Mkuu nashangaa sana kusikia ukilalama siku ya Mazingira duniani huko Dodoma na kutupia mpira wananchi eti wao ndio wapambane kudhibiti utililishaji wa maji ya sumu toka kwenye migodi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna...
4 Reactions
9 Replies
919 Views
Mikutano ya Katiba mpya inayoongozwa na Chadema kupitia Bavicha ni kama imedoda kwani mahudhurio ni watu Kiduchu kabisa. Mikutano inayofurika ni ile ya Komredi Chongollo kule Kanda ya Ziwa na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama...
10 Reactions
193 Replies
10K Views
Nyalandu anasema aliondoka CCM kwasababu kuna mambo hayakuwa sawa. Lakini sasa tunaona rais anahudhuria mpaka hafla za wapinzani. (Source:. StarTV Medani za Siasa muda huu). Wazee wa legacy mpo...
17 Reactions
70 Replies
4K Views
Kuleni kulingana na urefu wa kamba zenu ikibidi kamba zikatike kwa sasa mnakula na baadhi ya wapinzani na ndio hao hao kwasasa mashambulizi yote na vijana wenu wanapambana na maiti kila siku...
3 Reactions
7 Replies
730 Views
Leo wa mbunge Mkinga, Dastan Kitandula ameuliza bungeni kuhusu jiwe la Tanzania linalopigwa mnada Dubai, Uarabuni. Naibu waziri wa madini amesema nao waliona mtandaoni na wanafatilia. =====...
9 Reactions
161 Replies
12K Views
1. Freeman Mbowe kabla ya kwenda Ikulu Tuwe makini na Suluhu Samia, ni zao la CCM. 2. Freeman Mbowe baada ya kutoka Ikulu. Nina imani kubwa sana na Rais Suluhu Samia na chama chake Cha CCM...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Bernard Membe:Dunia itatushangaa sana sana tusipomuunga mkono Mama uchaguzi wa 2025,Mama ameitendea haki nchi hii, Hivyo 2025 ni Mama tu, Nchi hii tangu uhuru imezaa viongozi wanaume watano na...
9 Reactions
55 Replies
5K Views
Tafakari kama leo kungekuwa na wabunge wa upinzani angalau 40 wa kuchaguliwa katika bunge kutoka Tanzania bara wakishindana kwa hoja. Tafakari maswali ambayo angekuwa anaulizwa Waziri mkuu kuhusu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
14 Reactions
160 Replies
8K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Serikali ya Tanzania imetunza na kuhifadhia shehena ya pembe za ndovu zenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 186. Shehena hii imekamatwa kutoka kwa majangili kwa...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna maandamo ya Kumpongeza Raisi leo Dodoma yaliyoratibiwa na mkuu wa mkoa. Mabango ya kila aina yenye picha kubwa za Raisi, wasanii na vijana waliopewa t-shirt zenye picha ya raisi. Naona...
14 Reactions
119 Replies
7K Views
Hakika kuna Kundi kubwa limeibuka Kuikejeli CCM chini ya Mwenyekiti Samia na Kudai Wao ni CCM iliyoongozwa na Hayati Magufuli na Kwamba MAGUFULI yupo MIOYONI mwao. Kundi hili ndio hilo hilo...
1 Reactions
5 Replies
687 Views
Katika pita pita kwenye magazeti ya leo nikakutana na haya maneno kwenye gazeti mojawapo, eti kayasema Mama hivyo wamemnukuu akiongea na Makatibu katika mkutano mkuu wa kitaaluma. "Uadilifu ni...
13 Reactions
94 Replies
7K Views
Wananchi Wako njia Panda, wengi hawaamini wala kuelewa kinachotokea mbele ya Macho yao. Wengi wamebaki kama mayatima wasio na mtu wa kuwasemea tena. Sasa wanabaki kushuhudia sherehe za...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Akihojiwa na TBC mzee Wassira alisema kuna baadhi ya vijana wa CHADEMA wanapenda sana kutukana washindani wao pale wanapoishiwa hoja hasa yule wanayemuita MDUDE CHADEMA. Kwenye mahojiano hayo...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Tuwe Wakweli. Kinachoendelezwa na CCM kwa sasa ni sawa na kampeni nchi nzima. Kuanzia Bungeni mpaka mitaani kwa wananchi. Daniel Chongolo katibu mkuu wa CCM yuko busy akizunguka nchi nzima...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…