Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

02 June 2022 Stockholm, Sweden MKUTANO WA MAZINGIRA Video : Global TV online Minister for International Development Cooperation hosts climate finance meeting at Stockholm+50 Sweden's Minister...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
SHAKA AVIOMBA VYOMBO KUMMULIKA MFANYABIASHARA ANAYEUZA PEMBEJEO FEKI Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, ameviomba vyombo vya ulinzi na usalama...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Nilikuwa najiuliza maswali haya. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii. Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo. Nataka kuwauliza wenzangu. Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii ni habari mbaya kwa wasiopenda mafanikio ya Rais Samia hasa kwenye "Royo Tua". Mama Samia tunakuambia piga kazi watakaa kimya wenyewe.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Alizomewa,akadharirishwa na hatimae akalazimishwa kuachia U-spika. Baadae walamba asali wakaitana Dodoma kusherehekea ushindi Rasmi. Sasa wamerudi kwa Kasi Mpya na Ari Mpya. Ndugai atabakia...
33 Reactions
78 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Serikali ya Tanzania kulipwa fidia na benki ya Standard ya uingereza kutokana na rushwa iliyogubika mkopo wa dola miloni 600 mwaka 2013. Sakata hili tulishuhudia aliyewahi kuwa...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Uongozi ni namna ya kushughulika na katatizo yaliyopo. Kipindi Cha Awamu ya Tano, ilijikita kushughulika na matatizo ya wananchi kwa kiwapelekea miradi mingi haswa ili wafaidi keki Yao. Miradi...
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Hali ya kifedha ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai bwana Sabaya ni tete! Hii inatokana na Wakili wa Sabaya kuomba michango kutoka kwa wasamaria wema ili kuendesha na kumaliza kesi zote zinazomkabili.
11 Reactions
175 Replies
12K Views
Rais Samia akishuhudia utiaji saini mikataba ya Mradi wa Maji wa Miji 28 - Chamwino Jijini Dodoma, Juni 6, 2022. ======= Samia Hassani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Viongozi wote...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Biashara kati ya Tanzania na Kenya imekuwa ikikuwa kwa kiwango flani kutokana na uwepo wa jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iliyoanza mwanzoni mwa miaka ya 2000. Tangu kipindi cha kuundwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Baada ya elimu,vituo vya afya,Kilimo na Sasa ni zamu ya sekta ya Maji.. Kwa mujibu was Waziri WA Maji Jumaa Aweso,Rais wa JMT mapema mwezi ujao anatarajia kuweka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kauli kuwa maiti ziliokotwa kwenye viroba wakati wa utawala wa hayati JPM ni kauli nzito, sio kauli za kubeza hata kidogo. Inaonekana Membe ana ushahidi wa kutosha na ana siri nzito juu ya hizi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Akichangia bajeti ya Wizara ya Ardhi Bungeni leo Mei 26, Dkt Joseph Kizito amesema “sehemu kubwa ya migogoro katika maeneo yetu inachangiwa na taasisi zingine za serikali, inapotokea mwananchi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanajukwaa, Bila shaka Kazi inaendelea. Twende kwenye mada,Kumezuka mtindo mpya wa upigaji kwa Wizara na taasisi za Serikali kuanza kutumia pesa za walipakodi kujenga maofisi...
0 Reactions
14 Replies
984 Views
Wakuu nimependa Tcra Ya India Inavyofanya Kazi. India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwamba wa siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe , Laingwanan ama Mtemi Isike kama anavyofahamika huko Tabora , ataongea na Watanzania wanaoishi nje ya Nchi ( DIASPORA ) , kesho Jumamosi...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
WANAWAKE MTWARA WAMPA TUZO MAALUMU RAIS SAMIA. Wanawake mkoani Mtwara wamemkabidhi tuzo maalumu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa kuwatumikia Watanzania katika kuwaletea maendeleo...
0 Reactions
4 Replies
710 Views
Tangu mwezi March 2021 sijasikia zile harakati zikiendelea kwa siku za hivi karibuni. Japo wabunge wa upinzani ni wachache lakini hakuna hata mmoja wa kuunga juhudi?
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…