Dkt. Philip Mpango ahudhuria mkutano wa mazingira Sweden

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,193
02 June 2022
Stockholm, Sweden

MKUTANO WA MAZINGIRA

Video : Global TV online
Minister for International Development Cooperation hosts climate finance meeting at Stockholm+50 Sweden's Minister for International Development Cooperation Matilda Ernkrans will host a high-level meeting on increased support to the countries hardest hit by climate change and the loss of biodiversity. The ministerial meeting will bring together some 30 donor and developing countries, the UN and leading representatives of central organisations and funds, including the World Bank, the Green Climate Fund and UNDP.

Reports from the UN Intergovernmental Panel on Climate Change (IPCC) show that current global efforts are far from enough, despite promises from donor countries to increase their funding.
“I have brought together key countries and organisations to mobilise political support to speedily increase funding to the worst affected countries. The Government is doubling its support to the Global Environment Facility and substantially increasing its support to Sida’s environment and climate strategy as part of the efforts to double Swedish climate aid,” says Ms Ernkrans.
On 2–3 June, the UN Stockholm+50 meeting will be held in Stockholm under the theme: A healthy planet for the prosperity of all – our responsibility, our opportunity. For many developing countries, greater solidarity is necessary for them to be able to take part in the green transition.
Makamu wa, rais wa Tanzania Mh. Philip Isdor Mpango amehudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 ya azimio la umoja wa mataifa la ulinzi wa mazingira ulioasisiwa kwa mara ya mwanzo mwaka 1972.

Makamu wa rais amesema pamoja na kuwa sasa ni miaka 50 tangu kuasisiwa kwa azimio la kutunza mazingira ya dunia lakini bado kazi kubwa inatakiwa kutimiza maazimio hayo na maagano ya Kyoto, Rio De Janeiro na Glasgow ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira yaliyofanyika maeneo mbalimbali ya dunia yetu.

Makamu wa rais amesema Tanzania imefanya makubwa katika juhudi za kutunza mazingira na kutenga maeneo maalum ya hifadhi za maeneo na pia kupanda miti na nishati mbadala kutunza mazingira.

Stockholm, 2 June 2022 – Fifty years after Sweden hosted the first-ever United Nations Conference on the Human Environment, and with the world facing a triple planetary crisis of climate change, biodiversity loss and pollution, governments, civil society, young people and the private sector today gathered for an international meeting – Stockholm+50 – to spur urgent action for a healthy planet for the prosperity of all.

Thousands of participants are attending the two-day meeting – convened by the UN and co-hosted by Sweden and Kenya – with speakers including His Majesty the King Carl XVI Gustaf of Sweden, Swedish Prime Minister Magdalena Andersson, Kenyan President Uhuru Kenyatta, President Azali Assoumani of Comoros, President Mohamed al-Menfi of Libya, Prime Minister Abubakar Tafawa Balewa of Nigeria, UN Secretary-General António Guterres and John Kerry, United States Special Presidential Envoy for Climate.

“The crisis for our environment and climate affects people all around the world. The developed countries are the ones who pollute and have polluted the most. But the poorest are hit the hardest,” Prime Minister Andersson said in her opening remarks. “We must ensure that no country is left behind. And we must ensure that no person is left behind. The climate transition can only be done if it’s made in a social and inclusive way. This is not just an option. This is our moral obligation.”

Speakers stressed the need for decisive action to transform the global economy and humanity’s relationship with nature for people and planet to thrive.

“We have an exceptional opportunity to turn climate and environmental commitments into action, if we work together as a community of nations. Heightened ambition in financing and implementation should be at the core of these actions,” said President Kenyatta of Kenya, which has hosted the UN Environment Programme (UNEP) since it was established following the 1972 Stockholm Conference.

United Nations Conference on the Human Environment, 5-16 June 1972, Stockholm​

Background​

The first world conference on the environment​

The 1972 United Nations Conference on the Environment in Stockholm was the first world conference to make the environment a major issue. The participants adopted a series of principles for sound management of the environment including the Stockholm Declaration and Action Plan for the Human Environment and several resolutions.

The Stockholm Declaration, which contained 26 principles, placed environmental issues at the forefront of international concerns and marked the start of a dialogue between industrialized and developing countries on the link between economic growth, the pollution of the air, water, and oceans and the well-being of people around the world.

The Action Plan contained three main categories: a) Global Environmental Assessment Programme (watch plan); b) Environmental management activities; (c) International measures to support assessment and management activities carried out at the national and international levels. In addition, these categories were broken down into 109 recommendations.

One of the major results of the Stockholm conference was the creation of the United Nations Environment Programme (UNEP).

Source: https://www.un.org/en/conferences/environment/stockholm1972#:~:text=The Stockholm Declaration, which contained,and the well-being of
 
congrats Mh.VP tuwakilishe vyema,hongera pia kutembelea kampuni ya Sub Scania na kuishawishi kufungua kiwanda huku, hii itafanya bei yake kushuka na kucompete na Howo etc. Mama alisema kila safari ya nje lazima ilete manufaa.kongole
 
Mi huaa nazicheki tu comments za haters halafu nasema, HIIIIIIIIIIIIIIIII
 
02 June 2022
Stockholm, Sweden

MKUTANO WA MAZINGIRA

Video : Global TV online

Makamu wa, rais wa Tanzania Mh. Philip Isdor Mpango amehudhuria mkutano wa kuadhimisha miaka 50 ya azimio la umoja wa mataifa la ulinzi wa mazingira ulioasisiwa kwa mara ya mwanzo mwaka 1972.

Makamu wa rais amesema pamoja na kuwa sasa ni miaka 50 tangu kuasisiwa kwa azimio la kutunza mazingira ya dunia lakini bado kazi kubwa inatakiwa kutimiza maazimio hayo na maagano ya Kyoto, Rio De Janeiro na Glasgow ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira yaliyofanyika maeneo mbalimbali ya dunia yetu.

Makamu wa rais amesema Tanzania imefanya makubwa katika juhudi za kutunza mazingira na kutenga maeneo maalum ya hifadhi za maeneo na pia kupanda miti na nishati mbadala kutunza mazingira.

Stockholm, 2 June 2022 – Fifty years after Sweden hosted the first-ever United Nations Conference on the Human Environment, and with the world facing a triple planetary crisis of climate change, biodiversity loss and pollution, governments, civil society, young people and the private sector today gathered for an international meeting – Stockholm+50 – to spur urgent action for a healthy planet for the prosperity of all.

Thousands of participants are attending the two-day meeting – convened by the UN and co-hosted by Sweden and Kenya – with speakers including His Majesty the King Carl XVI Gustaf of Sweden, Swedish Prime Minister Magdalena Andersson, Kenyan President Uhuru Kenyatta, President Azali Assoumani of Comoros, President Mohamed al-Menfi of Libya, Prime Minister Abubakar Tafawa Balewa of Nigeria, UN Secretary-General António Guterres and John Kerry, United States Special Presidential Envoy for Climate.

“The crisis for our environment and climate affects people all around the world. The developed countries are the ones who pollute and have polluted the most. But the poorest are hit the hardest,” Prime Minister Andersson said in her opening remarks. “We must ensure that no country is left behind. And we must ensure that no person is left behind. The climate transition can only be done if it’s made in a social and inclusive way. This is not just an option. This is our moral obligation.”

Speakers stressed the need for decisive action to transform the global economy and humanity’s relationship with nature for people and planet to thrive.

“We have an exceptional opportunity to turn climate and environmental commitments into action, if we work together as a community of nations. Heightened ambition in financing and implementation should be at the core of these actions,” said President Kenyatta of Kenya, which has hosted the UN Environment Programme (UNEP) since it was established following the 1972 Stockholm Conference.

United Nations Conference on the Human Environment, 5-16 June 1972, Stockholm​

Background​

The first world conference on the environment​

The 1972 United Nations Conference on the Environment in Stockholm was the first world conference to make the environment a major issue. The participants adopted a series of principles for sound management of the environment including the Stockholm Declaration and Action Plan for the Human Environment and several resolutions.

The Stockholm Declaration, which contained 26 principles, placed environmental issues at the forefront of international concerns and marked the start of a dialogue between industrialized and developing countries on the link between economic growth, the pollution of the air, water, and oceans and the well-being of people around the world.

The Action Plan contained three main categories: a) Global Environmental Assessment Programme (watch plan); b) Environmental management activities; (c) International measures to support assessment and management activities carried out at the national and international levels. In addition, these categories were broken down into 109 recommendations.

One of the major results of the Stockholm conference was the creation of the United Nations Environment Programme (UNEP).

Source:
https://www.un.org/en/conferences/environment/stockholm1972#:~:text=The Stockholm Declaration, which contained,and the well-being of
Ccm ni mafii ...tokomeza wahuni wa ccm popote uwaonapo
 
04 June 2022

KUTOKA SWEDEN: MAKAMU WA RAIS MPANGO AZUNGUMZA NA DIASPORA, ASISITIZA UMOJA..

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewaasa watanzania waishio nchini Sweden pamoja na maeneomengine duniani (Diaspora) kuwa na mshikamano pamoja na maelewano ili waweze kutatua changamoto zao zinazowakabili pamoja na kuchangia ujenzi wa taifa lao la Tanzania.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipofanya mazungumzo na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya watanzania waishio nchini Sweden.

Amesema serikali inathamini mchango mkubwa unaotolewa na diaspora katika kufanikisha adhma ya diplomasia ya uchumi hivyo wanapaswa kuondoa tofauti zao na kuendelea kuitangaza vema Tanzania nchini Sweden.

Pia amewataka kuheshimu katiba za vyama vyao wanavyoviongoza nchini Sweden pamoja na kukutana na kujadili kwa uwazi kwakuzingatia katiba waliojiwekea katika kuendesha mambo yao.

Source : Global TV online
 
Katibu Mkuu wa Baraza la Diaspora Watanzania Duniani (TDC GLOBAL),ndugu Adolph Nyagabona Makaya akiagana na Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Baada ya Mkutano wa Mhe. Makamu wa Rais na viongozi wa Diaspora uliofanyika Stockholm nchini Sweden tarehe 4 Juni, 2022.
 
Wawapatie uraia pacha ili wawekeze nyumbani.
 
Mr. Guterres said that, since the 1972 conference, human demand on natural resources has become unbearably heavy, with ecosystem degradation compromising the well-being of over 3 billion people and a growing tide of pollution and waste costing some 9 million lives annually. While knowledge and tools exist to deal with this, leadership and cooperation are lacking. READ MORE : https://www.un.org/press/en/2022/envdev2046.doc.htm
 
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA KAMPUNI YA SCANIA NCHINI SWEDEN​

03-1-scaled.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akitazama moja ya injini inayotumia nishati ya gesi iliotengenezwa na kampuni ya Scania yenye makao makuu yake Stockholm nchini Sweden wakati alipotembelea makumbusho ya kampuni hiyo leo tarehe 1 Juni 2022

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 1 Juni 2022 ametembelea makao makuu ya kampuni ya utengenezaji wa magari ya Scania iliopo Stockholm nchini Sweden. Katika ziara hiyo Makamu wa Rais ameshuhudia teknolojia ya utengenezaji wa magari yanayotumia nishati ya gesi ikiwemo gesi inayotokana na taka ngumu inayotumiwa na kampuni ya utengenezaji magari ya Scania kwa lengo la kupunguza ongezeko la gesi joto duniani.

Makamu wa Rais ameshiriki mazungumzo na mkurugenzi wa teknolojia endelevu ya utengenezaji magari wa Kampuni ya Scania Jonas Strömberg pamoja na mkuu wa teknolojia endelevu ya usafirishaji wa kampuni ya Scania Fredrik Wijkander, mazungumzo yaliolenga kuongeza ushirikiano baina ya Tanzania na Kampuni hiyo.

Makamu wa Rais amesema Tanzania ipo tayari kwaajili ya ushirikiano na kampuni hiyo hasa katika vyuo vya ufundi vitakavyowezesha uhamilishaji wa teknolojia. Aidha ameikaribisha kampuni hiyo kushirikiana na wafanyabiashara pamoja na wawekezaji wa sekta ya usafiri waliopo Tanzania ili kueneza teknolojia ya matumizi ya nishati mbadala katika usafirishaji na kukabiliana na changamoto za uharibifu wa mazingira.

Kwa upande wake mkuu wa teknolojia endelevu ya usafirishaji wa Kampuni ya Scania Fredrik Wijkander amemshukuru Makamu wa Rais kwa kuitembelea kampuni hiyo na kuipongeza nchi ya Tanzania kwa kuendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na uharibifu wa mazingira. Amesema kampuni ya Scania inavutia na mabadiliko mbalimbali yanayofanyika nchini Tanzania ikiwemo uboreshaji wa sekta ya uwekezaji ambayo inawapa hamasa ya kushirikiana na Tanzania katika sekta ya usafirishaji hususani usafiri wa mizigo na abiria
04-1-scaled.jpg

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akisikiliza maelezo kutoka muongoza watalii wa makumbusho maalum ya kampuni ya utengenezaji magari ya Scania Charlotte Gelotte wakati alipotembelea makumbusho hiyo iliopo makao makuu ya kampuni ya Scania, Stockholm nchini Sweden leo tarehe 1 Juni 2022
 
Kwanini asiwaombe waje kujenga kiwanda cha ku assemble.
 
Stockholm, Sweden 🇸🇪

Tanzania, Sweden ties for greater heights​

04-06-2022 | 15:50

Tanzania, Sweden ties for greater heights Tanzania, Sweden ties for greater heights

VICE-PRESIDENT Dr Philip Mpango has said Tanzania is committed to strengthening the existing diplomatic ties with Sweden for the greater interest of both sides.

He equally commended Sweden for its continued efforts to support Tanzania’s development in various sectors that include education, trade and human rights.

Dr Mpango expressed the government commitment on Friday during his meeting with the Swedish Minister for Foreign Affairs, Ann Linde, during their talks held in Stockholm, Sweden.

“The two countries have been enjoying stronger ties for a long time, the government of Tanzania under President Samia Suluhu Hassan is looking forward to strengthening the existing bond,” said Dr Mpango.

He also suggested the possibility for Sweden to support in training cardiac specialists in Tanzania, as well as the need to restore the cooperation on higher learning education.

“The move will enable Tanzania to have a good number of experts on higher learning education for national development,” he said.

Dr Mpango also informed the Swedish minister on the efforts that the government of Tanzania is taking to improve business and investment environment.
1654526230516.png

For her part, Ms Linde commended the government of Tanzania for various efforts being taken including promoting human rights, press freedom and democracy.

She also commended the government for allowing teenage mothers to continue with their studies after giving birth, saying the move provides equal rights to education for Tanzanian girls.

The Swedish minister was also optimistic that the Tanzania-Sweden business cooperation will be improved due to the presence of supporting infrastructure including Rapid Bus Transit in Dar es Salaam and the construction of the Standard Gauge Railway (SGR).
 
Back
Top Bottom