Mkopo wa Trilioni 1.2 kutoka EXIM Bank ya India zinazotumika kwenye miradi ya maji

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,429
17,047
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana.

Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits, Standard Chartered Bank nk kwamba hiyo mikopo ni ya gharama sana kwani ina riba kubwa kwa sababu ni ya kibiashara.

Watu hao wakashauri kwamba mikopo ilitakiwa ichukuliwe kwenye taasisi za kimataifa kama IMF ana WB ama AfDB nk kwani wao hutoa concessional loans ama mikopo ya gharama nafuu.

Mimi binafsi nakubaliana na hoja zao kwamba IMF ama WB wana mikopo ya gharama nafuu na pia credit/grace period yao hua ni kubwa sana kuanzia miaka 5 na kuendelea kutegemeana na mazungumzo yenu.

Naomba kuuliza, je huu mkopo kutoka EXIM Bank ya India ambao umechukuliwa kwenye bank ya biashara mbona sisikii ukisemwa au wenyewe ni mkopo wa bei rahisi?

Tusisahau serikali ya JK ilikopa kutoka EXIM Bank ya China kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Kinyerezi wenye gharama kubwa sana ambao tutaulipa kwa miaka zaidi ya 10 na bomba lenyewe linatumika kwa 6% na kuiacha TPDC na deni la zaidi ya Trilioni 2 ambazo iwe isiwe lazima sisi watanzania tutalipa tu.

Tukubaliane kwamba mikopo ya kibiashara ni mikopo ya hovyo haijalishi nani anaingia mikataba ila nashangaa sisikii wataalamu wetu uchwara wakiponda hii ya mama, ama kisa tu walikua na chuki na Magufuli? Sijui.

Je, ni kwanini tumekopa kwenye benki ya kibiashara na hatukukopa WB ma IMF ambao wana Gharama ndogo za mikopo ama wametugomea kutokana na kua na mzigo mkubwa wa madeni? Je deni letu sio sustainable tena?
 
Nasema hivi, siku hata wewe mleta mada ukibahatika kusukumizwa pale ikulu kamwe usizuie watu kulamba asali kwenye kibuyu, fanya yako yote lakini kibuyu acha walambe wanavyoweza. Utatawala mpaka Allah akuchukue.
 
Kwa sasa wapinzani wa Magufuli wako ndani ya ushungi.
Wanapumulia pafyumu toka makwapani.
Tutaongea nao siku wakitoka humo.
 
Tuhuma za udini nchini zipo kabla Zitto hajazaliwa

tukitaka mjadala wa udini ufunguliwe tujadili kwa uwazi na takwimu watu wanaingia mitini
Hii nchi kuendelea ni kazi
Kuna udini na ukabila
Zitto ni mdini sana
 
Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana.

Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits, Standard Chartered Bank nk kwamba hiyo mikopo ni ya gharama sana kwani ina riba kubwa kwa sababu ni ya kibiashara.

Watu hao wakashauri kwamba mikopo ilitakiwa ichukuliwe kwenye taasisi za kimataifa kama IMF ana WB ama AfDB nk kwani wao hutoa concessional loans ama mikopo ya gharama nafuu.

Mimi binafsi nakubaliana na hoja zao kwamba IMF ama WB wana mikopo ya gharama nafuu na pia credit/grace period yao hua ni kubwa sana kuanzia miaka 5 na kuendelea kutegemeana na mazungumzo yenu.

Naomba kuuliza, je huu mkopo kutoka EXIM Bank ya India ambao umechukuliwa kwenye bank ya biashara mbona sisikii ukisemwa au wenyewe ni mkopo wa bei rahisi?

Tusisahau serikali ya JK ilikopa kutoka EXIM Bank ya China kujenga bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Kinyerezi wenye gharama kubwa sana ambao tutaulipa kwa miaka zaidi ya 10 na bomba lenyewe linatumika kwa 6% na kuiacha TPDC na deni la zaidi ya Trilioni 2 ambazo iwe isiwe lazima sisi watanzania tutalipa tu.

Tukubaliane kwamba mikopo ya kibiashara ni mikopo ya hovyo haijalishi nani anaingia mikataba ila nashangaa sisikii wataalamu wetu uchwara wakiponda hii ya mama, ama kisa tu walikua na chuki na Magufuli? Sijui.

Je, ni kwanini tumekopa kwenye benki ya kibiashara na hatukukopa WB ma IMF ambao wana Gharama ndogo za mikopo ama wametugomea kutokana na kua na mzigo mkubwa wa madeni? Je deni letu sio sustainable tena?
Mkopo huu ulisainiwa mwaka 2018 na umetolewa sasa hivi..

Pili Miradi yote ya maji ni mikopo Tena India ndio mkopeshaji mkubwa wa miradi ya Maji Tanzania kuanzia mradi wa kutoa Maji Victoria hadi dawasa Huko Dar.
 
Hii nchi kuendelea ni kazi
Kuna udini na ukabila
Zitto ni mdini sana
Mtu wa hovyo kabisa. Hataki kabisa ukosoe Samia kisa ni musilamu mwenzake.

Lakini kwa sisi tunaojua mambo ya dini, kwa musilamu, uislamu ni over everything.

Wanasiasa kama zito ni tatizo nchi hii.
 
Zitto anachojua ni kutetea kila ujinga unaofanywa na wale wa dini yake, halafu kwa ujinga wake anadhani akiingiza dini kwenye utetezi wake ndio atawafunga werevu midomo ili wasikemee huo ujinga.

Atambue hili sio taifa la wajinga.
Linapokuja swala la uislamu zito akili hua zinamruka.

Zito ni mdini sana. Watu kama zito ni laana kwa hii nchi.
 
Back
Top Bottom