boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
Wakuu
Nimekaa nimewaza nikajikuta natafakari kuhusu kampeni za kawe na ahadi alizokuwa anazitoa mtumishi Mungu Mch Gwajima, natamani kujua siku hizi 100 za kwanza zinakaribia kuisha tangia uchaguzi ulipomalizika na alitiahidi kuona matokeo ya yeye kuchaguliwa kwake siku 100 za kwanza bila shaka Mch analijua neno na analifuata hivyo hawezi kuongopea wananchi ahadi zake zote lazima ziwe kweli kutokana na cheo chake, wananchi wa jimbo la kawe tunaomba mtuhabarishe nini kipya vipi anakunywa kahawa tena na wananchi,
Asante.
Mwananchi huru.