Na Yohana Mangala, Dar es Salaam
Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika...
DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU.
Na Bwanku M Bwanku.
Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu...
Vijana mmeisoma hii ripoti ya benki kuu ya Tanzania Kuna vitu vya maana sana humu. Kuna fursa na indicators za fursa zimeainishwa.
Kwenye Paragraph ya pili toka mwisho inaongelea fursa iliyoletwa...
Leo Waziri ametoa ombi la kuvunja kanuni na kuruhusu timu ya Serengeti girls na viongozi wake kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge.
Bunge limechukua hatua hiyo ili kuwapongeza baada ya kufuzu...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.
Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto...
Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA.
Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi...
Umetoa majibu ya jumla na rejareja kuhusu Usalama wao wakirejea toka walikokimbilia.
Madhira aliyopitia Lusu huwezi kuyaweka katika kapu Moja eti nchi yetu iko salama arudi.
Tunataka tamko kuwa...
Act Wazalendo mnasoma maoni ya wananchi kuhusu kiongozi wenu zitto kabwe? Na kama mnasoma maoni ya wananchi mmegundua nini juu yake na wananchi?
Someni maoni ya wananchi tafakarini na mshaurini...
Nchi nyingi sana Duniani Bunge ni Mahali patakatifu sana na nchi nyingi ni rahisi sana kutembelea Ikulu lakini sio Bungeni.
Bungeni huwa ni sehemu ambayo hubeba matumaini ya nchi, sehemu nyeti...
Tulimsikia Waziri wa Sanaa na Michezo wa nchi hii, Mohamed Mchengerwa, Katika kusoma bajeti yake ya mwaka huu, kuwa analiomba Bunge hilo liweze kuidhinisha zaidi ya shilingi bilioni 10, kwa ajili...
assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki...
TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Na WyEST,
DODOMA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma...
Salaam wakuu, natumai nyote mpo salama
Ndugu zangu kijana wenu nimekuwa mtumiaji wa mitandao mbalimbali ya kijamii ikiwamo Telegram, Instagram, Twitter na mingineyo.
Kama utakukubaliana na Mimi...
Takribani miaka 50+ sasa mpo madarakani lkn mahubiri ni yaleyale na matatizo ya nchi yetu bado mtambuka,umaskini bado umetuzonga kama jeraha la moyoni.. mengine ndo yanazidi bdl ya...
Wenye enzi zao walisema mazoea huanzisha tabia!..
Saikolojia watu huidharau lakini ni swala linalo waathiri wengi sana. Kama ulevi mwengine unavyoanza taratibu mpaka kukolea ndivyo hivyohivyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe alitoa nafasi ya wabunge wa viti maalum 19 kuomba msamaha kwa yaliyotokea kabla ya kupiga kura za kuwafukuzwa uanachama.
Fursa ya kuomba radhi...
Habari wana-Jukwaa.
Nipo najiuliza maswali mengi sana kila nikiingia sehemu nikaona Mapungufu flani,nikitoka nawaza hivi lini na sisi tutakua kama Nchi Flani nikitoka sehemu hio nikipita sehemu...
#HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira.
=======
Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara...
Waziri Juma Aweso amesema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani. Aweso amesema watu wanasema mama anaupiga mwingi lakini yeye anasema mama ni Noma na anawatahadharisha vyama rafiki(Upinzani)...