KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 30,115
- 69,056
Takribani miaka 50+ sasa mpo madarakani lkn mahubiri ni yaleyale na matatizo ya nchi yetu bado mtambuka,umaskini bado umetuzonga kama jeraha la moyoni.. mengine ndo yanazidi bdl ya kupungua,kipindi cha nyerere rushwa ilikuwa haba,elimu yetu ya serikali still duni wkt sasa ilitakiwa iwe juu zaidi miaka 50+ si mchezo!.
bado tunaangaika na njaa wkt taifa limezungukwa na maji! ardhi 70% inaruhusu kilimo ndo kwanza kauli za hivi"serikali haina shamba" zinatoka mnasubiri nini..?
kilimo ni sekta kubwa mno sijui kwanini hamuipapatikii! nafikiri tunaweza kujilisha nakulisha,watanzania hatutakiwi kuwa na mtapiamlo!.
Matatizo ya ajira bado mtambuka,huduma za afya hivyohivyo,maji kwengine hovyo,umeme wenge!,
hivi hamjiulizi kwanini watu wanapendelea huduma za private kuliko za serikali?
nadhani jibu mnalo
mi nashindwa kuwaelewa na hapa inajionyesha dhahiri kupwaya kwa suruari ndio mwanzo wa kukaa uchi! hauwezi kuitwa upo uchi kama haujakaa uchi!
kuna mtu aliita watu vilaza lkn sidhani kama alifikiri chanzo cha huo ulaza