Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Trilioni 14.94 kwa mwaka 2022/23

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.

Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la Taifa kutokana na athari za Mlipuko wa COVID-19 na vita kati ya Urusi na Ukraine.

Amesema changamoto nyingine ni kuongezeka gharama za utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ununuzi wa vitendea kazi kutokana na mfumuko wa bei, hivyo kuathiri mwelekeo wa bajeti iliyokuwa imeidhinishwa na Bunge.
 
Figures za kwenye makaratasi uhalisia wake mdogo sana..na nyingi zitaingia kwa walamba asali
 
hizo hela zote ni kwa ajili ya nini , wizara moja. au ndo pamoja na mishahara ya watumishi?
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.

Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la Taifa kutokana na athari za Mlipuko wa COVID-19 na vita kati ya Urusi na Ukraine.

Amesema changamoto nyingine ni kuongezeka gharama za utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ununuzi wa vitendea kazi kutokana na mfumuko wa bei, hivyo kuathiri mwelekeo wa bajeti iliyokuwa imeidhinishwa na Bunge.
Hajasema kama kuna pesa ya kuendesha timu aliyoinunua hivi karibuni baada ya kupanda daraja?
 
Hapo kuna lidingi linasubiri hizo hela ziingie kwenye mzunguko lipige ili likamalizie mjengo wake
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.

Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la Taifa kutokana na athari za Mlipuko wa COVID-19 na vita kati ya Urusi na Ukraine.

Amesema changamoto nyingine ni kuongezeka gharama za utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ununuzi wa vitendea kazi kutokana na mfumuko wa bei, hivyo kuathiri mwelekeo wa bajeti iliyokuwa imeidhinishwa na Bunge.
Hii wizara inafanya kazi gani hasa za maendeleo ya kijamii ama kitaifa kwa ujumla? Maana ni hela kubwa kuliko za tamisemi, vitu gani inavifanya hasa wadau katika matumizi yake hayo??
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23.

Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la Taifa kutokana na athari za Mlipuko wa COVID-19 na vita kati ya Urusi na Ukraine.

Amesema changamoto nyingine ni kuongezeka gharama za utekelezaji wa miradi ya maendeleo na ununuzi wa vitendea kazi kutokana na mfumuko wa bei, hivyo kuathiri mwelekeo wa bajeti iliyokuwa imeidhinishwa na Bunge.
Uchumi wa tozo, naye ANAONA katoa mawazo mapyaa.

Mwigu anashika rekodi ya kuwa waziri wa fedha wa hovyo kuwahi Kutokea nchini.
 
Back
Top Bottom