ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,002
- 3,829
Kwa habari zilizoko ni kwamba wale wabunge 19 wa Chadema wamevuliwa uanachama.KISA hawakupitishwa na CHAMA.
Swali ambalo najiuliza JE Mbowe na Chadema wanataka kuteua wabunge wengine kwa nafasi hizo?Kama jibu ni Ndio basi Mbowe hafai kuwa Mwenyekiti wa Chadema na Chadema hakina hadhi ya kuwa chama kitakachoipeleka Tanzania Mbele.
Mbowe amewahi kugombea URAIS wa nchi.Mbowe amewahi kulazimisha Lowasa agombee kwa tiketi ya Chadema bila ridhaa ya Mkutano Mkuu.Lowasa hakuwa mwanachadema wala mfuasi wa itikadi za Chadema lakini MBOWE alilazimisha na akalazimisha na akawa mgombea wa URAIS kwa tiketi ya chadema.
Kwa sisi ambao tunafahamu yanayofanyika ndani ya Chadema hasa kuhusu viti maalum tunajua kwamba kilichotokea 2020 kuhusu viti maalum hakikuwa kubebwa na CCM bali ni lile kudni kutambua kwamba MBOWE na wenzake walikuwa na watu wao ambao wameshawaandaa kwa ajili ya kuwapa nafasi hizo.
Kwa kuona vile ikawa ni kuwahi. Na wao wakawahi na wakapitishwa.Kile kitendo kikawaumiza Mbowe na wenzake wakaamua kuleta mizengwe.
Inatosha tu kusema uzandiki wa MBOWE hauna afya kwa CHADEMA wala kwa demokrasia na haki za wanawake