Mentality ya kuupiga mwingi italiua Taifa

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,849
Wenye enzi zao walisema mazoea huanzisha tabia!..

Saikolojia watu huidharau lakini ni swala linalo waathiri wengi sana. Kama ulevi mwengine unavyoanza taratibu mpaka kukolea ndivyo hivyohivyo ulevi wa kuupiga mwingi utakapokolea utakuja kuangamiza nguzo ya uongozi bora ktk taifa hili!.

Endeleeni kuchekea madudu mtu Yale yashibe yawanyee na kila ndani ya akili ya kila mtu hii dhana ikae!,hakuna mahali nchi itashikika.

Kutiana adabu ndio chachu stahiki ya kuleta uwajibikaji,heshima na matokea imara.

Hao watu weupe mnaojikombakomba kwao angalieni hawaruhusu michezo ya ajabu ndani ya nchi zao,ila wanapenda kufanya michezo ya ajabu nje na kwao!..

Upigeni mwingi lakini iwe ni kwa maslahi ya taifa.
 
Siku hizi ndio mnajifanya mna macho yakuona na masikio ya kusikia? Unafiki huu kwa Magu mliimba mapambio acheni na Samia aimbiwe. Ndio uzuri wa JF hii inadumisha kumbukumbu.

Kweli kunya anye kuku akinya bata...
 
Angalia usijekuonekana tahira kwa maneno yako mwenyewe na ulivyo mpumbavu umeshaanza kujadili watu badala ya vitu!
 
Angalia usijekuonekana tahira kwa maneno yako mwenyewe na ulivyo mpumbavu umeshaanza kujadili watu badala ya vitu!
Wakati tunakemea kwa JPM mlikuwa mnakenua sio? Kama ulikuwa unafurahia wakati wa JPM basi hakuna haja ya kufura kwa Samia ikiwa wote ni waCCM!.
 
Mkuu hivi kwenye kichwa chako Kuna kichwa kweli au ni tumbo hilo..?
 
Imekuwa ni kawaida yetu Watanzania kusifia viongozi. Kuna sifa za kweli na kuna za kinafiki; kuna sifa sahihi na kuna sifa za kujikomba.

Za kujikomba zimezidi ndio maana utaona mtu anasimama anajenga hoja eti mtaa fulani upewe jina la kiongozi fulani aliyeko madarakani, Unafikiri ni nini - ni kujikomba kwa maslahi ya mbele.

Najaribu kutafuta majina ya mitaa katika zoezi hili la makazi -usishangae ukakuta asilimia 10 ni mjina ya watu wenye dhamna ya kuteua!

Mtu anateuliwa leo kuwa waziri baada ya miezi 2 tu sifa kem kem; baadae mtakuja kujua kuwa si nchi ilkuwa inafunguliwa bali inauzwa.

Angalia haya ya utalii - tumefungua sana hadi kupitiliza hadi sasa wanajichanganya wenyewe, mara wanyama wauzwe (vigelegele) mara wasiuzwe (vigelegele) - waziri kaupiga mwingi
 
Wenye enzi zao walisema mazoea huanzisha tabia!..

Saikolojia watu huidharau lakini ni swala linalo waathiri wengi sana.. Kama ulevi mwengine unavyoanza taratibu mpaka kukolea ndivyo hivyohivyo ulevi wa kuupiga mwingi utakapokolea utakuja kuangamiza nguzo ya uongozi bora ktk taifa hili!...
Wengi wa wanaotumia kauli hii hawajui asili yake na hata ukiwauliza kupiga mwingi nini,hawawezi kukujibu.
 
Wenye enzi zao walisema mazoea huanzisha tabia!..

Saikolojia watu huidharau lakini ni swala linalo waathiri wengi sana.. Kama ulevi mwengine unavyoanza taratibu mpaka kukolea ndivyo hivyohivyo ulevi wa kuupiga mwingi utakapokolea utakuja kuangamiza nguzo ya uongozi bora ktk taifa hili!...
Walishajua udhaifu wake ni mpenda sifa sna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom