Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna mahali popote ambapo Mahakama ya Kinondoni katika hukumu yake imesema kwamba Paulo Makonda , aliyeshitakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka na uvamizi AMESHINDA KESI HIYO , ambayo...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
TAARIFA KWA UMMA Kufuatia uamuzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kumteua Balozi Ombeni Sefue kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nyakati za Dr Slaa mambo ya Kitaifa kama hili la mgogoro wa Ngorongoro chama kingekuwa kimetoa maoni na Msimamo wake Lakini zama hizi za J J Mnyika lila mtu anatoka hadharani na msimamo tofauti...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi Ililetwa nyuzi humu ikitaadharisha mpango mchafu wa kuleta taharuki na sintofahamu dhidi ya Mbunge wa hai unaoratibiwa na Mstaafu Freeman Aikael Mbowe Kwa kuwatumia wapambe wake...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya. Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Mwezi mmoja tu baada ya kuapishwa Rais Samia alijinasibu kuwa yeye anaamini kwenye kukosolewa na pia ataachia uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vilifunguwa huko nyuma na anaamini katika...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Hapo vip!! Leo natua kwa huyu mtu anaitwa Tumaini kweka ambaye ni naibu DDP wa serikali,kwanza sitaki nimjue sana kwa sasa napata kichefu chefu. Niwazi huyu mtu amemgeuza Sabaya kama project ya...
-1 Reactions
39 Replies
2K Views
Ndiyo, Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania, Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini? Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini...
16 Reactions
180 Replies
11K Views
Picha: Fredrick Lowassa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijaona popote pale CHADEMA ambao ni chama kikuu cha upinzani kikizungumzia uwepo wa mgao wa maji na umeme. Wakati wa Dr Slaa maswala yote yanayoleta sintofahamu kwa wananchi yalihojiwa kwa...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Wabunge wa magufuli wanaendea kutuletea kero majimboni, Mfano huyu mafue amekuwa kinara wa migogoro katika vijiji vya nshara na uduru akitaka kuleta uhasama Mkubwa. Mafue ananuka Damu za Sabaya
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Ifahamike kuwa wakati baadhi ya wafanyabiashara hawakuweza kulipa kodi, kuna wenzao waliweza kulipa kodi kwa aina hiyo hiyo ya biashara na soko hilo hilo. Mfanyabiashara anapopanga bei ya bidhaa...
0 Reactions
2 Replies
828 Views
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka. CCM ina...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Twende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi ,huko Uganda jamii ya watu wa kabila la Batwa kwa miaka mingi walikuwa wanaishi kwenye hifadhi pamoja na Sokwe,lakini kadiri walivyoongezeka ikatishia...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Huyu mama ana asili ya kutokujiamini ndio maana anaongeaga huku anatetemeka, hajiamini kabisa hata subordinates wanamdharau tu maana hana madhara wala jipya lolote zaidi kutembeza bakuli...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Twende kwenye mada. Unaweza mbeza na kumchukia na ukamfanya vyovyote unavyojiskia ila ukweli itabakia pale pale kwamba rekodi anazoweka mh.Rais SSH hazijawahi kuwekwa na Rais yeyote...
7 Reactions
200 Replies
50K Views
Mbunge wa Mtwara mjini amesema wamasai 110,000 wanaoishi Ngorongoro waondolewe na kulipwa fidia ili kulinda hifadhi kwa sababu Ngorongoro siyo mali ya Wamasai pekee bali ni ya taifa zima kama...
17 Reactions
49 Replies
4K Views
Tangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM Mitandaoni kote hakujawahi kutulia, nilidhani labda kwa kuwa nchi yetu haijawahi kukumbwa na kadhia hiyo ya...
19 Reactions
142 Replies
9K Views
Anaandika Boniface Jacob ambaye alikuwa Meya wa Ubungo na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, aisee inaonekana wafanyabishara wote wa ndani na wa kigeni walikuwa wakimuogopa Magufuli isipokuwa mmiliki...
55 Reactions
275 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…