Wa-TZ wenzangu!
Wakati wa Wikileak nilitambua walioendelea na hasa US wanatumia maafisa wa ubalozini ili kuzifahamu nchi walimo. Balozi zao zinatumika sana kuwaelewesha tabia za viongozi wetu...
Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora.
Sifa za Mtumishi Bora ni:
1. Muwazi
2. Mchapa kazi
3. Mwaminifu
Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake...
Mchango wa JamiiForums watambulika bungeni, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba asema anaipongeza JamiiForums kwa kuweza kufanya uratibu wa mchakato wa mazungumzo yahusuyo mambo ya digitali...
KODI IKATWE KWA WATU WAZALISHAJI; UMRI SIO KIGEZO.
Anaandika Robert Heriel.
Serikali inayowajibu wa kutengeneza mazingira Kwa watu wake kujizalishia mali, serikali makini ni Ile inayofanya...
Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Oleshangai Naomba kuthibitisha kuwa wananchi wapatao 31 wamejeruhiwa vibaya sana kwenye zoezi la uwekaji wa beacons kwenye ardhi ya vijiji, Ngorongoro.
Wananchi hao...
Kati ya vitu ambavyo Magufuli alikuwa akiimbwa navyo ni kubana matumizi ya Serikali
Ila leo baada ya kumsikiliza Mwigulu akiweka mikakati mipya ya kubana matumizi, nimeona kumbe Serikali ina...
Kada wa CCM maarufu visiwani Zanzibar baada ya clip yake akimpa za uso Mwehishimiwa wa Uchumi wa Blue hivi karibuni, Inasemakana kuwa majuzi alitekwa na watu wasio juulikana, na hivi sasa yupo...
Wakuu
Serikali haijatatua tatizo!
Tatizo sio malipo ya Ada bali mhitimu atafanya nini Baada ya kumaliza elimu yake!
Je, anaweza KUTUMIA elimu yake kujiajiri!!?kufanya jambo jipya lenye soko...
Ingekuwa vizuri Serikali ipange mishahara ya wabunge kwa kufuata viwango vya elimu zao.
Bunge letu tukufu hupata wabunge wa viwango tofauti tofauti vya elimu kama ifuatavyo:
1. Elimu ya...
Wednesday, 30 December 2015
OBC - Hunters from Dubai and the Threat against 1,500 km2 of Maasai Land in Loliondo
It’s been some time since I wrote a summary about OBC and the 1,500 km2, a lot...
Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi.
Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa...
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na...
Jumuiya ya Wazazi CCM imelaani vikali kauli za aliyekuwa mwanachama wao Mzazi Baraka Shamte
Aidha Jumuiya hiyo imeitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini:
1. Je, Baraka Shamte yuko peke...
Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha...
Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi.
Manufaa ya uchumi shirikishi...
Aina ya Siasa anayofanya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndg Shaka Hamdu Shaka ni kete muhimu sana kwa CCM na anguko la Upinzani Tanzania
====
HEBU ANGALIA SHAKA AKISHIRIKI NA WANAWAKE...
Hakuna Jambo linalodhorotesha Utumishi wa umma nchini Kama hii style yakutumbuana kila siku. Viongozi wa nchi wameacha kutafuta suluhu ya matatizo ya wananchi badala yake wamejikita kutumbua kila...
Naibu Spika Zungu amesema bungeni pamezuka tabia ambayo siyo nzuri yaani wakati mbunge anachangia mbunge mwingine anasimama na kumkatiza ili atoe taarifa.
Na mara nyingi taarifa zinazotolewa...