Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula.

Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya itapatikana hivi karibuni.

 
Hata askofu Desmond Tutu wa Afrika kusini aliweza kuliokoa au kuliandalia taifa lao kwa kupigania kupata katiba mpya.

Watanzania tutakukumbuka sana askofu Mwamakula kwa juhudi zako hizi na ipo siku isiyo mbali utavishwa taji la heshima.

Yasikilize maneno yenye kujenga nchi kutoka kwa askofu Mwamakula leo hii tukiwa huku Sumbawanga.
 
CHADEMA pambanieni katiba ya chama ili kumuondoa life chairman ndo mje kwa wananchi kuwaeleza hizo ngonjera zenu za katiba mpya huenda wakawaelewa japo kidogo
 
Hata askofu Desmond Tutu wa Afrika kusini aliweza kuliokoa au kuliandalia taifa lao kwa kupigania kupata katiba mpya.

Watanzania tutakukumbuka sana askofu Mwamakula kwa juhudi zako hizi na ipo siku isiyo mbali utavishwa taji la heshima.

Yasikilize maneno yenye kujenga nchi kutoka kwa askofu Mwamakula leo hii tukiwa huku Sumbawanga.View attachment 2121102
Mimi namuamini Askofu Mwamposa kuliko huyu wa kwenu Chadema
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula...
Mwamakula mpuuzi tu! Bisha
 
Mwamakula alipiga maombi Mungu akayasikia wote waliovuruga uchaguzi mkuu chali, sabaya, ndugai, jiwe, bashite, chalamila, kange hata awajulikani walipo wamebakia historia.
Mkuu umetisha kwa kumbukumbu
 
Back
Top Bottom