laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,827
- 2,298
Kwako wakili mbobevu Kibatala wafungulie kesi
1: Uhujumu uchumi kwa kulipwa wakati syo wabunge halali
2: Kesi ya kugushi nyaraka za CHADEMA
Naomba wahi mapema mahakamani, na katika hilo mhusishe pia Ndugai(in person) na msajili wa vyama kwa kutengeneza mtandao wa kihali ulosababisha kujipatia pesa isivyo halali