Spika Tulia amesema Waziri wa Ardhi Dkt Mabula alitumia lugha isiyo ya Kibunge wakati anampa Taarifa Mbunge Kunambi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,599
141,415
Spika Tulia amesema Neno " dhulma" lililotumiwa na Waziri Mabula wakati akmpa taarifa mh Kunambi halikuwa sahihi na siyo lugha ya Kibunge hivyo lighter kwenye hansard

Spika Tulia alikuwa akijibu mwongozo ioombwa na mbunge wa Mlimba mh Kunambi aliyedai kitendo cha kuitwa dhulmati na Waziri Mabula kimemvunjia heshima bungeni na jimboni

Mungu ni mwema wakati wote

Tundu Lissu: Wakitumaliza sisi watakulana wao kwa wao
 
Spika Tulia amesema Neno " dhulma" lililotumiwa na Waziri Mabula wakati akmpa taarifa mh Kunambi halikuwa sahihi na siyo lugha ya Kibunge hivyo lighter kwenye hansard

Spika Tulia alikuwa akijibu mwongozo ioombwa na mbunge wa Mlimba mh Kunambi aliyedai kitendo cha kuitwa dhulmati na Waziri Mabula kimembunjia heshima bungeni na jimboni

Mungu ni mwema wakati wote

Tundu Lisu: Wakitumaliza sisi watakulana wao kwa wao
Jo hujakumbushia wale wabunge mchongo anao walinda 🤔
 
Sasa hivi naanza kumuelewa Dr. Tulia, anaitendea haki Phd yake, SiO wakati wa Mgogo
 
Spika Tulia amesema Neno " dhulma" lililotumiwa na Waziri Mabula wakati akmpa taarifa mh Kunambi halikuwa sahihi na siyo lugha ya Kibunge hivyo lighter kwenye hansard

Spika Tulia alikuwa akijibu mwongozo ioombwa na mbunge wa Mlimba mh Kunambi aliyedai kitendo cha kuitwa dhulmati na Waziri Mabula kimembunjia heshima bungeni na jimboni

Mungu ni mwema wakati wote

Tundu Lisu: Wakitumaliza sisi watakulana wao kwa wao

Mkuu Hiyo Ni panga linalokula kuwili. Hata wenyewe wanakulana. Kumbuka unazungumzia wanadamu. Wakishakuwa zaidi ya mmoja lazima hoja zigongane na Hata lugha ya wakati. Lakini hiyo Pia haimaanishi wanafitiniana wote. Hakuna chama kisicho na „I do you you do me „
 
Pamoja na ufafanuzi wa Spika lakini haiondoi ukweli kuwa wakati Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Dodoma Jiji waliwatendea vibaya sana (ngoja nisitumie dhuluma) wananchi wa Dodoma. Alikuwa analewa sifa ya kupima viwanja vingi bila kulipa fidia kwa kile alichoita upimaji shirikishi. Hiyo dhana ya upimaji shirikishi imewaumiza sana wananchi.

Jiji linaingia kwenye shamba lako wanapima then wanakwambia kuws mtagawana viwanja kwa asilimia 70 (wananchi) kwa 30 (jiji). Ukweli ni kwamba wanasema kuwa mgawanyo huo ni baada ya kutoa barabara ambayo ni asilimia 15-18.

Ukweli ni kwamba wananchi walikuwa wanabaki na chini ya asilimia 55 ya eneo lake. Tena wakati mwingine Jiji wanachukua viwanja vizuri ili wauze haraka. Mwananchi anaachiwa mabonde na korongo.

Leo ukienda pale Jiji upande wa ardhi, wananchi walio na mgogoro ya viwanja na Jiji ni wengi kuliko wanaofuatilia hati zao.
 
Kuwaachia wanasiasa wafanye maamuzi kama hayo halafu kujiita nchi ya amani ni kukosa ufahamu wa neno amani.
 
Back
Top Bottom