Kilimanjaro : Kongamano la Katiba Mpya lavunja rekodi ya Mahudhurio

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,811
218,468
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya na wala hakuna tena wa kuzuia , Umati uliohudhuria Kongamano linaloendelea Moshi Mjini muda huu ni balaa kubwa , kwa kusema ukweli kongamano hili laweza kuvunja rekodi ya makongamano ya namna hii yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania .

Kwa Wageni na wengine wanaotaka kuhudhuria , kongamano linafanyika kwenye Ukumbi wa Kisasa wa KILI EAST MJOHORONI .

Wote mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema .
 
Asili ya wana mageuzi ni huko, hawajawahi kuwa kijani

Mungu ibariki CHADEMA
 
Kamanda kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Halima

IMG_20220625_153533.jpg

Sitokei ukanda wa kaskazini lakin pia sipend kutokiri ukweli, jamaa zetu wanaibeba Tanzania katika nyanja zote. Nilishangaa Nairobi wamejaa wachaga wafanyabiashara utadhan dar.
Jiografia na ukoloni viliwaposition vizuri pazuri!
 
And hawakuzubaa wanatumia nafasi hiyo kujijenga zaidi. Hawakulala
 
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya na wala hakuna tena wa kuzuia , Umati uliohudhuria Kongamano linaloendelea Moshi Mjini muda huu ni balaa kubwa , kwa kusema ukweli kongamano hili laweza kuvunja rekodi ya makongamano ya namna hii yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania .

Kwa Wageni na wengine wanaotaka kuhudhuria , kongamano linafanyika kwenye Ukumbi wa Kisasa wa KILI EAST MJOHORONI .

Wote mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema .

Hii ni real-time reporting? Tupia footage ya hiyo nyomi ya kongamano tuione!
 
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya na wala hakuna tena wa kuzuia , Umati uliohudhuria Kongamano linaloendelea Moshi Mjini muda huu ni balaa kubwa , kwa kusema ukweli kongamano hili laweza kuvunja rekodi ya makongamano ya namna hii yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania .

Kwa Wageni na wengine wanaotaka kuhudhuria , kongamano linafanyika kwenye Ukumbi wa Kisasa wa KILI EAST MJOHORONI .

Wote mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema .
Kwa kilimanjaro sishangai wale watu wana akili sana.

Nikanda moja yenye maendeleo kuliko kanda zote Tanzania

Walishaachana na ujinga wa Ccm tumbo
 
Sasa ni dhahiri kwamba Watanzania wanataka Katiba Mpya na wala hakuna tena wa kuzuia , Umati uliohudhuria Kongamano linaloendelea Moshi Mjini muda huu ni balaa kubwa , kwa kusema ukweli kongamano hili laweza kuvunja rekodi ya makongamano ya namna hii yaliyowahi kufanyika Nchini Tanzania .

Kwa Wageni na wengine wanaotaka kuhudhuria , kongamano linafanyika kwenye Ukumbi wa Kisasa wa KILI EAST MJOHORONI .

Wote mnakaribishwa .

Mungu ibariki Chadema .
Propaganda

Taja idadi hata kwa proximity

Leta picha tuone
 
Sitokei ukanda wa kaskazini lakin pia sipend kutokiri ukweli, jamaa zetu wanaibeba Tanzania katika nyanja zote. Nilishangaa Nairobi wamejaa wachaga wafanyabiashara utadhan dar.
Jiografia na ukoloni viliwaposition vizuri pazuri!
Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa upande wa Kenya hadi uliposainiwa mkataba wa Heligoland ndo kale ka mstari kakabinuliwa ili Kilimanjaro irudi Tanzania.
 
Kumbe ndo maana wachaga ni mabepari katika nchi ya kijamaa!
Ila na wakolon waliwekeza sijui kwa kuangalia nini kwamba,
...Wachaga ..vyuo vya kifedha/ushirika.
.....wahaya,wakerewe, wajita_ vyuo vya ualimu na ukarani.
.....wakurya, wasukuma na waha -ulinzi
......wanyakyusa, wakinga nadhan waliwekeza vyuo vya ukatekista na kilimo.
......coast sijui.
Binafs naamini sabab kubwa ya utofaut wa kikanda leo ni uwekezaj wa wakolon
 
Back
Top Bottom