Tukimalizana na wamasai wapemba wajiandae Kwa Zanzibar ya Buluu

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,955
Kisiwa Cha pemba ni fursa kubwa Kwa utalii japo Kwa Sasa maeneo mengi yamehodhiwa na wazawa na wameshindwa kuyaendeleza. Nadhani katika kukuza pato la Taifa upo umuhimu wa kujenga maghorofa kama aliyojenga Karume Unguja then familia za wakaazi wa Pemba wakae kwenye makazi hayo nadhifu kuruhusu ardhi kutumika Kwa masuala mengine ya maendeleo. Kupanga ni kuchagua, waendelee kuishi kwenye mazingira yasiyolingana na hadhi eneo husika au tukope fedha tuwajengee nyumba za pamoja kwenye streets flan flani then tutumie eneo lililobaki Kwa kilimo, ujenzi wa mahoteli na biashara kubwa kubwa zitakazosisimua uchumi wa Zanzibar.

Tujadili Incase this idea can push development in Pemba
 

jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
11,650
20,914
Baada ya katiba mpya kutakuwa na mkoa wa unguja na pemba..tutayafanyia kazi hayo mawazo..kwa manufaa ya wananchi hususani uchumi wa buluuu.

#MaendeleoHayanaChama
 
1 Reactions
Reply
Top Bottom