Shabani Ajaha
Member
- Aug 18, 2021
- 78
- 60
UVCCM_ TAIFA
BURUNDI
ZIARA YA KATIBU MKUU CCM NCHINI BURUNDI.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. DANIEL CHONGOLO akiwa Ziarani Nchini Burundi.
Lengo mahususi la Ziara hii ni kuboresha Mahusiano yaliyopo baina ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na CNDD - FDD nchini Burundi.
Hakika Chama Cha Mapinduzi ni Chama Imara, Chenye Serikali Imara na Sasa Kazi ya kulijenga Taifa inaendelea.
#AlipoMamaVijanaTupo
#2022ShirikiUchaguziKwaUadilifu
#2022JiandaeKuhesabiwa
#KaziIendelee