Nyerere hakujigamba na cheo cha udaktari

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,825
9,533
Julius K. Nyerere was awarded by 21 Universities, the following Honorary Doctorate
Degrees: University of Edinburgh, (U.K.); University of Duquesne, Pittsburoh
Pennsylvania (U.S.A.) Cairo University (Egypt); Nsukka University (Nigeria); University
of lbadan (Nigeria); University of Monrovia (Liberia); Toronto University (Canada);
Howard University (U.S.A.) Ljubljana University (Yugoslavia); Pyongyang University
Korea); Jawaharlal Nehru University (India); Havana University (Cuba); University of
Dar es Salaam (Tanzania) - 2; National University of Lesotho (Lesotho); University
of Manila (Philippines); Makerere University (Uganda); Dar es Salaam Open
University (Tanzania); Claremont University California (U.S.A.); Sokoine Universityof Agriculture, Morogoro (Tanzania); Fort Hare University (South Africa); ILincoln
University (U.S.A.). He was also Chancellor of University of East Africa 1963 - 1970;
Chancellor of University of Dar es Salaam 1970 1985; Chancellor of Sokoine
University of Agriculture 1984.

SOURCE: (The Mwalimu Nyerere Foundation-Freedom and Liberation, 2011, pp. vi-vii)

Pamoja na awards hizi zote hakuwa na tambo mzee wa watu. Ila leo sasa!!!
 
Katika vitu mzee JKN nilimkubali, ni suala la kutujenga kuwa nchi ya amani, kupiga vita ukabila na udini, Tanzania ilikuwa kama mtoto, mzee JKN akawa mlezi, akailea Tanzania katika misingi bora ambayo mpaka leo tumesimamia.

Angeamua kutuvuruga isingeshindikana, ungekuwa kama DRC tu, kila mtu ana AK47 na SMG ndani, hakika isingeshindikana. Aliona mbali, hakuchukulia vitu mzaha mzaha, alikwua mzalendo wa kweli.

Kuhusu mada, nadhani hakujikweza kwa sababu.
1-Haikuwa tabia yake.
2-Wakati ule wasomi walikuwa wachache, wananchi wengi hata kusoma na kuandika ilikuwa shida, kama kiongozi ilikuwa haina maana kujikweza kwa watu ambao elimu ilikuwa duni sana, kama kiongozi aliamua kutumia elimu yake kunufaisha taifa lake, kuwatoa wananchi kwenye ujinga.

Japo hakuna asiye na mapungufu, lakini JKN alikuwa jembe mzee wetu.
 
Huo udaktari wa heshima hata King Musukuma LY anao, huo siyo wa kujivunia
 
Utawatambiaje maskini wenye vilaka ?
 
Na hao waliomtunuku Heshima hiyo hawakuwa wakitafuta maslahi/manufaa kutokana na cheo alichokuwa nacho serikalini.
Alitunukiwa kwa msimamo/mawazo yake aliyokuwa nayo na mchango wake katika maeneo waliyoyatambuwa hao waliokuwa wakimtunuku.
Ukitaka kujua zaidi juu ya hili, tafuta hotuba zake (acceptance speeches) wakati wa kutunukiwa kwa kila tunuku aliyopewa.
He was an intellectual of exceptional abilities. He was a thinker.
 
Angeamua, ilikuwa rahisi tu kuwa na kundi la "Walamba Asali," wachache na kuzifaidi raslimali za taifa bila kuhojiwa na yeyote, na leo hii tungekuwa na taifa tofauti kabisa na hili tulilonalo sasa.

Lakini sasa tunakwenda huko kwa spiidi kubwa sana, sijui kama baada ya miaka mitano/kumi kutakuwepo na alama yoyote ya kumkumbukia huyo mzee tena.
Jamaa sasa wanafanya mambo yao kimyakimya tu, matokeo yake ndiyo yataonekana baadae.
 
Julius K. Nyerere was awarded by 21 Universities, the following Honorary Doctorate
Degrees: University of Edinburgh, (U.K.); University of Duquesne, Pittsburoh
Pennsylvania (U.S.A.) Cairo University (Egypt); Nsukka University (Nigeria); University
of lbadan (Nigeria); University of Monrovia (Liberia); Toronto University (Canada);
Howard University (U.S.A.) Ljubljana University (Yugoslavia); Pyongyang University
Korea); Jawaharlal Nehru University (India); Havana University (Cuba); University of
Dar es Salaam (Tanzania) - 2; National University of Lesotho (Lesotho); University
of Manila (Philippines); Makerere University (Uganda); Dar es Salaam Open
University (Tanzania); Claremont University California (U.S.A.); Sokoine Universityof Agriculture, Morogoro (Tanzania); Fort Hare University (South Africa); ILincoln
University (U.S.A.). He was also Chancellor of University of East Africa 1963 - 1970;
Chancellor of University of Dar es Salaam 1970 1985; Chancellor of Sokoine
University of Agriculture 1984.

SOURCE: (The Mwalimu Nyerere Foundation-Freedom and Liberation, 2011, pp. vi-vii)

Pamoja na awards hizi zote hakuwa na tambo mzee wa watu. Ila leo sasa!!!
Huyo mzee alitawala enzi za ujima ,angetawala kipindi cha kina JPM,angekipata cha mtema kuni kwa vijana wa kidijital
 
Katika vitu mzee JKN nilimkubali, ni suala la kutujenga kuwa nchi ya amani, kupiga vita ukabila na udini, Tanzania ilikuwa kama mtoto, mzee JKN akawa mlezi, akailea Tanzania katika misingi bora ambayo mpaka leo tumesimamia.

Angeamua kutuvuruga isingeshindikana, ungekuwa kama DRC tu, kila mtu ana AK47 na SMG ndani, hakika isingeshindikana. Aliona mbali, hakuchukulia vitu mzaha mzaha, alikwua mzalendo wa kweli.

Kuhusu mada, nadhani hakujikweza kwa sababu.
1-Haikuwa tabia yake.
2-Wakati ule wasomi walikuwa wachache, wananchi wengi hata kusoma na kuandika ilikuwa shida, kama kiongozi ilikuwa haina maana kujikweza kwa watu ambao elimu ilikuwa duni sana, kama kiongozi aliamua kutumia elimu yake kunufaisha taifa lake, kuwatoa wananchi kwenye ujinga.

Japo hakuna asiye na mapungufu, lakini JKN alikuwa jembe mzee wetu.
Hakika utataja mapungufu yake kama binadamu lakini MIZANIA inaegemea kwenye uimara wake mkubwa sana. Matunda ya alichokifanya na kukijenga yanaonekana.
 
Na hao waliomtunuku Heshima hiyo hawakuwa wakitafuta maslahi/manufaa kutokana na cheo alichokuwa nacho serikalini.
Alitunukiwa kwa msimamo/mawazo yake aliyokuwa nayo na mchango wake katika maeneo waliyoyatambuwa hao waliokuwa wakimtunuku.
Ukitaka kujua zaidi juu ya hili, tafuta hotuba zake (acceptance speeches) wakati wa kutunukiwa kwa kila tunuku aliyopewa.
He was an intellectual of exceptional abilities. He was a thinker.
Ila siku hizi unatakiwa uwalipe tena pesa ndefu ndipo wakutunuku.
 
Katika vitu mzee JKN nilimkubali, ni suala la kutujenga kuwa nchi ya amani, kupiga vita ukabila na udini, Tanzania ilikuwa kama mtoto, mzee JKN akawa mlezi, akailea Tanzania katika misingi bora ambayo mpaka leo tumesimamia.

Angeamua kutuvuruga isingeshindikana, ungekuwa kama DRC tu, kila mtu ana AK47 na SMG ndani, hakika isingeshindikana. Aliona mbali, hakuchukulia vitu mzaha mzaha, alikwua mzalendo wa kweli.

Kuhusu mada, nadhani hakujikweza kwa sababu.
1-Haikuwa tabia yake.
2-Wakati ule wasomi walikuwa wachache, wananchi wengi hata kusoma na kuandika ilikuwa shida, kama kiongozi ilikuwa haina maana kujikweza kwa watu ambao elimu ilikuwa duni sana, kama kiongozi aliamua kutumia elimu yake kunufaisha taifa lake, kuwatoa wananchi kwenye ujinga.

Japo hakuna asiye na mapungufu, lakini JKN alikuwa jembe mzee wetu.

i.e. Zindiko
 
Huo udaktari wa heshima hata King Musukuma LY anao, huo siyo wa kujivunia
Lakini literally JKN alistahili hata ule wa academic sababu alikuwa bright alifanya tafiti nyingi na alikuwa na machapisho tosha sana yaliyozagaa kwenye maktaba nyingi duniani hivi leo.
Baadhi ya kazi zake hizi:

Publications: Freedom and Unity - Published by OUP 1966; Freedom and Sociaksm
OUP 1968; Freedom and Development-OUP 1973; Ujamaa Essays on Socialism-OUP
1968: Nyerere on Socialism-OUP 1969; Binadamu na Maendeleo-OUP 1974; Crusade for Liberation-OUP 1978; Julius Kaizari (translation into Kiswahili of Shakespeare's Julius Ceasar)-OUP;

Zaidi: Mabepari wa Venisi (translation into Kiswahili of Shakespeare's The Merchant of Venice)-OUP; Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania - African Publishing
Group, Harare Zimbabwe - 1994;

Hadi Bible alikuwa yumo:
Matayo, Mako, Yohana, Luka:. four chapters of the New Testament translated into prose poem in Kiswahili (Gospel of Mathew, Mark,
Luke and John) - Benedictine Ndanda Press, Peramiho Tanzania -1996; Africa Toda
and 1omorro - University of Dar es Salaam Press2000.

Nyerere also published more than 50 booklets on various subjects during his tenure in otfice as President and Chairman of the ruling party TANU and later CCM. Some of these include: Democracy and the Party System (1962); Ujamaa: the Basis of African Socialism (902); TANU na Raia: TANU Press 1962; Tujisahihishe: TANU Press, 1962; Nyufa: UCLAS Press, 1995. (ibid)
 
Back
Top Bottom