CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
 
Naumga mkono

Pale Yanga kwa mfano ujinga kama huu wa Covid 19 kamwe usingevumiliwa na wanachama na mashabiki
Kwani hao mashabiki wa Yanga sio sehemu ya wapenzi na wanachama wa Chadema?

Kwanini wasihamishie hiyo spirit yao Chadema?
 
Tatizo la Chadema ni viongozi, huwezi kuwafukuza akina Halima Mdee ukawaacha Mwenyekiti na Makamu wake ambao walimleta Lowasa awe mgombea bila ridhaa ya wanachama. Katiba ya Chadema ni kwa ajili ya wanachama wa chini na si kwa viongozi wakuu wa chama.
 
Kwa hiyo wanaokiuka taratibu za chama wasifukuzwe halafu Mbowe aliyempokea Lowassa afukuzwe kwa kosa gani?
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Asante Kwa kushiriki.
 
Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm mwenye kuamini katika siasa za kizee.
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Tatizo la Chadema ni viongozi, huwezi kuwafukuza akina Halima Mdee ukawaacha Mwenyekiti na Makamu wake ambao walimleta Lowasa awe mgombea bila ridhaa ya wanachama. Katiba ya Chadema ni kwa ajili ya wanachama wa chini na si kwa viongozi wakuu wa chama.
CHAWA mbona mnateseka sana 🤔🙄
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Bro unayumba sana..!!! Wenzio walishasemaga huko nyuma kwamba ikifika wakati fulani CHADEMA itakufa, lakini ipo hadi leo... !! Hivyo wewe si wa kwanza kuropoka hayo.
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi

CCM ya Tozo ndio wananchi wanaipenda.
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi

Mwananchi gani ana hamu na CCM ya Tozo na mikopo.
 
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.

Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.

Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.

Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo mioyoni mwa wananchi
Ujumbe unakuhusu mjomba!
JamiiForums1648251390.jpg
 
Back
Top Bottom