Kuna tabia imeibuka kwa baadhi ya viongozi kuwaaminisha raia kuwa serikali imejaa malimbukeni na yeyote aliye kinyume na serikali basi ana akili kubwa na uwezo mkubwa.
Hili linapelekea kupinga kila jambo zuri linalofanywa na serikali hata kama ni la manufaa.
Baadhi ni mambo yaliyopingwa na sasa tunaona faida zake
1. Ujenzi wa barabara za Mwendokasi.
2. Ujenzi wa Mloganzila hospital.
3. Upanuzi wa barabara ya Kimara.
4. Ujenzi wa madarasa 11000.
5. Malipo ya serikali kwa control No.
6. Ujenzi wa Bwawa la Nyerere
7. Ujenzi wa Daraja la Tanzanite na Kigamboni
8. Ujenzi wa barabara maeneo mbalimbali.
Haya na mengine mengi wakati yanaanzishwa kuna watu walijitokeza na kupinga na kukejeli lakini leo tunaona manufaa yake.
Leo tena naona kejeli zinaendelea baada ya Msemaji wa Serikali kuweka kipande cha video ya majaribio ya treni ya umeme.
Tuacheni siasa za kipumbavu za kupinga kila jambo.