Rashda Zunde
Senior Member
- May 28, 2022
- 199
- 231
Ni mchezo mchafu unaoratibiwa na washindani wa utalii wa Tanzania kwa ufanisi mkubwa kutumia watanzania wenyewe kupitia upotoshwaji kuhusu mazoezi mawili tofauti LOLIONDO na NGORONGORO.
Wanapotosha makusudi huku wakijua kuwa hakuna mtu hata mmoja aliyehamishwa Loliondo kwa kuwa kinachofanyika ni kuweka alama kuzunguka KM za mraba 1500 na kuwaachia wananchi KM za 2500 kati ya KM za mraba 4000 ambazo zote zilikuwa ni sehemu ya Pori Tengefu la Loliondo ambazo kisheria haziruhusiwi kutumika.
Pamoja na hujuma za kiushindani wa utalii na mkakati wa nchi jirani kuua utalii wa Tanzania kwa kuzuia Serengeti na Ngorongoro kutumia wenyeji wa maeneo hayo ili kurahisisha kuimarika biashara ya utalii nchini mwao.
Yabainika pia matajiri wa nchi hiyo jirani wazitumia Ngorongoro na Loliondo kama malisho ya kunenepesha mifugo yao kisha kuiuza kwa mamilioni ya pesa huku ikolojia ya utalii wa Tanzania ikiharibika vibaya.