Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusipozinduka sasa, tutakuja kuamka na kukuta majirani wako dunia nyingine, Pamoja na hali ya siasa za ndani Uganda kuwa ni za kidikteta, Lakini taifa hilo linazidi kupiga hatua kubwa, Kupitia...
40 Reactions
147 Replies
10K Views
Hakuna bunduki, hakuna vitisho na kwa mara ya kwanza , mamlaka ya mapato Tanzania inakusanya Trilion 22.28 . Nani kama Samia?
6 Reactions
101 Replies
6K Views
Ni lini Samia awapo Tanzania Ikulu haikuwa hewani? Nikumbushwe huenda nimesahau. Hakika sikumbuki. Tangu awe Rais kwa bahati mbaya dada huyo kila uchwao awapo Tanzania ni lazima Ikulu iwe...
19 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimewaza hapa na kujiuliza , je, ningekuwa kiongozi ningetatua vipi kadhia za Bandari ya Dar es Salaam na Bandari zingine kwa manufaa ya taifa? Suluhisho nambari moja ni kuunda wizara maalumu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunaongozwa na psychopath, unahamisha raia 150 000 (laki moja na nusu) kwa nguvu kupisha uwindaji wa Otterlo Business Corporation OBC Emirat? Mji wa Moshi wote una wakazi laki mbili fikiria...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya taarifa za kuwepo harakati za muungano wa Tanzania na Burundi. Ni wakati Sasa jambo hili lipewe nafasi na lifanyike Kwa haraka. Jamii ya warundi ni tiifu Kwa Tanzania na miaka yote...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Ukipewa madaraka tegemea siku inakuja utatenguliwa, Ukifurahia picha ya pamoja pale ikulu ukiwa na familia yako pembeni ya Rais jua kuna siku hao hao watakuliwaza jioni baada ya barua yako...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwenye hotel ya Golden Tulip mjini Zanzibar kuna hafla kubwa ya kusherekea mwaka mmoja wa nafasi ya urais wa Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi. Hafla hii imejumuisha viongozi wakuu wa kitaifa...
10 Reactions
132 Replies
11K Views
Watu huko nje bandari zinaendeshwa kwa kasi kubwa na biashara zinakuwa kwa kasi kubwa, kupitia bandari zetu sisi bado tuna suasua wawekezaji wanakuja ni kuzungushwa mwanzo mwisho nasema bandari...
0 Reactions
0 Replies
373 Views
AMOS MAKALLA – RC DAR ES SALAAM Mh. Rais SGR itategemea sana bandari. Nikushukuru sana kwa kutoa fedha bilioni 210 za kuboresha Bandari. - Bandari zimeboreka, mizigo kibao Fedha zile ulizozitoa...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa...
31 Reactions
129 Replies
7K Views
Wakuu natanguliza salamu, baada ya salamu hizi naingia moja kwa moja kwenye mada. Tulishasema humu mara kadhaa na labda turudie tena kwa wale ambao hawakuelewa , CCM BILA POLISI NI WEPESI KULIKO...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Niombe mwenye CV ya Mkurugenzi Mpya wa TPA lakini pia tupate experience yake pamoja na Miradi au ofisi alizowahi kuhudumu na mafanikio au mabadiliko aliyosababisha katika ofisi hizo. Tumekuwa na...
20 Reactions
141 Replies
28K Views
Nazani wengi tuna mkumbuka huyu Mdada Sylivia wa Safaricom Kenya jinsi alivyo fanyiwa figusi za hatari na watu sijui Uhamiaji ili kumfurahisha Jiwe ili tu asipate kibali cha kazi Tanzania alikuwa...
9 Reactions
62 Replies
6K Views
Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) limesikitishwa kuendelea kushikiliwa kwa Mratibu wa Uhamasishaji Bavicha Taifa Ndugu Twaha Mwaipaya na Jeshi la Polisi. Twaha Mwaipaya alikamatwa Juni 30, 2022...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf Tulizoea vijana wengi wakata insurance kusheheni mjini kwa violist vingi vya ujanja ujanja huku wakiwapiga wateja. Vijana na wajanja wa mjini walikuwa wanachukua fedha nyingi za wateja...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa leo tarehe 13 / 08/2021 amekagua ujenzi wa Ikulu ya jijini Dodoma ambao mpaka sasa umefikia hatua ya finishing. Waziri mkuu amerishishwa na maendeleo...
11 Reactions
72 Replies
9K Views
KENANI KIHONGOSI AWASIHI VIJANA KUMUUNA MKONO MHE RAIS SAMIA SULUHU HASSAN UVCCM HQ JULAI 03, 2022 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amewataka Vijana kumuunga mkono...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimemkumbuka sana ndugu yangu na rafiki yangu Ndugu Othman Masoud Othman aliyekuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kabla ya uteuzi wake kutenguliwa kwa kuwa tu aliipigia kura ya hapana katiba...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom