Halima Mdee na wenzake ni dosari kubwa kwa utawala wa awamu ya 6

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6 ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI MASIKINI.

MCHAKATO wa Kuwapata hao WABUNGE HALAMU uliandaliwa na kufanikishwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5
UTAWALA wa AWAMU ya 6 kuendelea kuwakingia KIFUA WABUNGE hao ni DOSARI KUBWA kwa UTAWALA wa AWAMU ya 6.

Ni wakati sasa kuiondoa DOSARI hiyo inayoichafua Serikali ya AWAMU ya 6 kwa KATIBA iliyoapwa na kuahidi KUILINDA na KUIHESHIMU kwani inasema Wazi kuwa MBUNGE lazima Atokane na Chama cha Siasa
na Mbunge ATAPOTEZA UBUNGE wake Endapo atafukuzwa UANACHAMA wake

HALIMA na GENGE lake TAYARI Wamefukuzwa na CHADEMA wanachofanya sasa ni KUCHELEWESHA MCHAKATO wa KUWAFUKUZA kwa KUFUNGUA KESI za KUPINGA KUFUKUZWA kwao.

JamiiForums-77849611.jpg
 
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6
ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI MASIKINI.
MCHAKATO
wa Kuwapata hao WABUNGE HALAMU uliandaliwa na kufanikishwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5
UTAWALA wa AWAMU ya 6 kuendelea kuwakingia KIFUA WABUNGE hao ni DOSARI KUBWA kwa UTAWALA wa AWAMU ya 6.
Ni wakati sasa
kuiondoa DOSARI hiyo inayoichafua Serikali ya AWAMU ya 6 kwa KATIBA iliyoapwa na kuahidi KUILINDA na KUIHESHIMU kwani inasema Wazi kuwa MBUNGE lazima Atokane na Chama cha Siasa
na Mbunge ATAPOTEZA UBUNGE wake Endapo atafukuzwa UANACHAMA wake
HALIMA na GENGE lake TAYARI Wamefukuzwa na CHADEMA wanachofanya sasa ni KUCHELEWESHA MCHAKATO wa KUWAFUKUZA kwa KUFUNGUA KESI za KUPINGA KUFUKUZWA kwao.View attachment 2279494
Hapana; serikali inaheshimu mihimili mingine. Kama Mahakama imetafsiri kuwa wabunge hao waendelee kuwa wabunge mpk uamuzi wa mahakama utakavyokuwa kuna shida gani? Unataka Rais aingilie bunge na mahakama?

Rais Samia anaheshimu utawala wa sheria; hataki kuwa mhimili uliojichimbia chini.

Subirini Mahakama ifanye kazi yake
 
Halima na wenzie,ni wahanga wa mfumo mbovu wa Siasa,ccm,wamefika hapo kutokana na utaperi wa ccm,Kuna mijitu ipo kwenye Siasa miaka 45+ikivulunda,hata ipigiwe kelele vipi,haiwezi kujiuzuru,sasa mnafikiri hao mabinti WA COVID 19,hawataki pesa!?serikali ndio inafanya ujambazi!!
Waacheni hao dadas wapige pesa,zingine zinaenda kusomesha wajomba zetu,hivi kweli COVID 19,wanatumia pesa ya nchi vibaya kuliko scandali ya escrow!wizi wa meremeta,Richmond,nchi hii Kuna wezi kama alivyokuwa Mkapa,Kikwete,na lowasa?!tuache unafiki
 
Kwani Hawa wabunge 19 wa CDM wana tofauti gani na wabunge wengine wa CCM waliopo bungeni kama akina Tulia Ackson, Palamagamba Kabudi, Patrobas Katambi, Maana FA au Kitila Mkumbo?
.
Hawa wote ni zao la Mwendazake au wengine wanamuita Mwendakuzimu. Kama Taifa tumshukuru Mungu kwa kutuondolea yule DIKTETA, tuache kuwasakama hawa.

Mimi naishi Jimbo la Kawe, Halima Mdee kwenye uchaguzi wa 2020 alikamata kura feki ambazo Gwajima alikuwa anaingiziwa kwenye masanduku. Akalalamika kwa Polisi lakini hakuna hatua ilichukuliwa. Tuwaache tu wamalize hadi 2025 ndiyo tufungue ukurasa mpya.
 
..Ni aibu kwa awamu ya 5 na 6.

..Hawa hawakuteuliwa na chama chao.

..Na kwasababu hawakuteuliwa na chama chao maana yake Nec haikuhusika.

..Swali la kujiuliza ni nani aliwawezesha kuapishwa bila kuteuliwa na chama chao au Nec?
 
Nyinyi mnaosubiri uteuzi kujaza hizo nafasi ndio mnaoumia.

Wale wako bungeni na wanafanya kazi nzuri tu.
 
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6
ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI MASIKINI.
MCHAKATO
wa Kuwapata hao WABUNGE HALAMU uliandaliwa na kufanikishwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5
UTAWALA wa AWAMU ya 6 kuendelea kuwakingia KIFUA WABUNGE hao ni DOSARI KUBWA kwa UTAWALA wa AWAMU ya 6.
Ni wakati sasa
kuiondoa DOSARI hiyo inayoichafua Serikali ya AWAMU ya 6 kwa KATIBA iliyoapwa na kuahidi KUILINDA na KUIHESHIMU kwani inasema Wazi kuwa MBUNGE lazima Atokane na Chama cha Siasa
na Mbunge ATAPOTEZA UBUNGE wake Endapo atafukuzwa UANACHAMA wake
HALIMA na GENGE lake TAYARI Wamefukuzwa na CHADEMA wanachofanya sasa ni KUCHELEWESHA MCHAKATO wa KUWAFUKUZA kwa KUFUNGUA KESI za KUPINGA KUFUKUZWA kwao.View attachment 2279494

Uwezo wako wa kutofautisha vitu ukoje? Awamu ya 5 ni watu gani na Awamu ya 6 ni watu gani?

Unafiki ndiyo tofauti iliyopo kati ya Awamu ya 5 na Awamu ya 6.
 
Halima na wenzie,ni wahanga wa mfumo mbovu wa Siasa,ccm,wamefika hapo kutokana na utaperi wa ccm,Kuna mijitu ipo kwenye Siasa miaka 45+ikivulunda,hata ipigiwe kelele vipi,haiwezi kujiuzuru,sasa mnafikiri hao mabinti WA COVID 19,hawataki pesa!?serikali ndio inafanya ujambazi!!
Waacheni hao dadas wapige pesa,zingine zinaenda kusomesha wajomba zetu,hivi kweli COVID 19,wanatumia pesa ya nchi vibaya kuliko scandali ya escrow!wizi wa meremeta,Richmond,nchi hii Kuna wezi kama alivyokuwa Mkapa,Kikwete,na lowasa?!tuache unafiki
Kwa ujinga uliouandika hapa kuna kua na haja gani kwa nchi kua na sheria?.Kwahiyo kwasababu kuna ujinga ulifanyika uko nyuma hakukuchukuliwa hatua basi tuache ujinga mwingine uendelee kufanyika.tukiwa tunahalalisha ujinga uendelee kufanyika kwa historia ya ujinga mwingine wa uko nyuma kufumbiwa macho tutakua taifa la namna gani kwa style hiyo.Ifike mahali watu tujitambue.hayo yote ya ovyo yanafanyika kwasababu wananchi hatujitambui.
 
Hongera kwa kutambuwa umuhimu wakulinda Katiba ya nchi yetu na Sheria zake .kama Katiba inaruhusu wao kuendelea na ubunge waendelee,kama Katiba ya nchi hairuhusu watoke mara moja.
 
Katika Mambo yanayoitia DOSARI SERIKALI ya AWAMU ya 6
ni hili la WABUNGE 19 waliofukuzwa na CHADEMA lakini Mpaka leo Wapo BUNGENI na WANALIPWA Mishahara na Posho ambazo ni KODI za WANANCHI MASIKINI.
MCHAKATO
wa Kuwapata hao WABUNGE HALAMU uliandaliwa na kufanikishwa na UTAWALA wa AWAMU ya 5
UTAWALA wa AWAMU ya 6 kuendelea kuwakingia KIFUA WABUNGE hao ni DOSARI KUBWA kwa UTAWALA wa AWAMU ya 6.
Ni wakati sasa
kuiondoa DOSARI hiyo inayoichafua Serikali ya AWAMU ya 6 kwa KATIBA iliyoapwa na kuahidi KUILINDA na KUIHESHIMU kwani inasema Wazi kuwa MBUNGE lazima Atokane na Chama cha Siasa
na Mbunge ATAPOTEZA UBUNGE wake Endapo atafukuzwa UANACHAMA wake
HALIMA na GENGE lake TAYARI Wamefukuzwa na CHADEMA wanachofanya sasa ni KUCHELEWESHA MCHAKATO wa KUWAFUKUZA kwa KUFUNGUA KESI za KUPINGA KUFUKUZWA kwao.View attachment 2279494
Pasco njoo mabosi wako wanapopolewa huku
 
Mbona
Hapana; serikali inaheshimu mihimili mingine. Kama Mahakama imetafsiri kuwa wabunge hao waendelee kuwa wabunge mpk uamuzi wa mahakama utakavyokuwa kuna shida gani? Unataka Rais aingilie bunge na mahakama?

Rais Samia anaheshimu utawala wa sheria; hataki kuwa mhimili uliojichimbia chini.

Subirini Mahakama ifanye kazi yake
Mbowe alikaa mdani muda wote ijapokuwa makosa yake hayakuthibitika 🤔 wao ni nani waendelee kula kodi zetu wakati swala lao liko wazi 🙄
 
Back
Top Bottom