Arusha Jiji msipowaondoa chawa wa Pima, mtaendelea kuumia

kihara meja

New Member
Jun 2, 2022
1
1
Arusha kuna mambo Sana

Baada ya PM kumpiga chini Mkurugenzi Wa Jiji la Arusha John Pima, kwa tuhuma za upigaji akishirikiana na Wachumi 3 na mweka hazina ambao wamehamishiwa Arusha hivi karibuni kimkakati, kumeibuka kikundi Cha CHAWA wake Pima ambao kila kukicha ni kuchafua viongozi wengine akiwemo RAS kwa nia ya kuhamisha mawazo ya watu wasifikirie upigaji wa mamilioni uliofanywa na genge la Viongozi wa jiji likiongozwa na Pima

Wadadisi wamebaini wachafuzi hao wa Viongozi kuwa ni vibarua walioajiriwa na Jiji hilo akiwemo Mary Mwita (Mwanasheria) na Zulfa-Afisa Habari aliyepandikizwa kuchafua CCM na Viongozi wa Serikali kwa maslahi binafsi ya waliotumbuliwa wanamtumia mwandishi binafsi wa Meya kusambaza kwenye Magroup ya WhatsApp Taarifa za kuwachafua viongozi Ili wasifanye kazi zao kwa uhuni huu.
 
Arusha Jiji hata mongela anapiga hapo pesa.​

Duuu. Dr. Pima aligusa maslahi ya mafisad. Wamehangaika wamemtengenezea ajali. Msitake tuanze kufunguka maana "mbengo zitafongoka".
Pima hana machawa, Ila watu wenye AKILI KUBWA ndo wanamwelewa. BAHAT MBAYA SANA UKWELI HUCHELEWA KUFIKA NA UONGO HUA UNAWAHI
 
Back
Top Bottom